Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Wale mastar walijua kuwa maarufu instagram ndo ushindi. Nasubiri matokeo ya Babu Tale.
Wasafi asubuhi na kabla ya matokeo ya Kigamboni walikuwa wanaposti na pia wakawa wanamposti Makonda baba mlezi. Tangu matokeo yatoke wapo kimya sana! Inaoneka Meneja mambo ni kama baba Mlezi! Wizara ya michezo na utamaduni imeota mbawa!!
 
😂😂😂😂 hiyo TISS FAKE ya iliyojaa maccm!?

Ayaanike hayo anayoyajua hadharani kuusu mh Raisi ndio atakapojua TISS wamelala au wapo kazini

Watamshughulikia kisawa sawa,Makonda hawezi kushindana na serikali
 
Mwakyembe Kaliwa kichwa huko [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20200720_205456_233.JPG
 
Wasafi asubuhi na kabla ya matokeo ya Kigamboni walikuwa wanaposti na pia wakawa wanamposti Makonda baba mlezi. Tangu matokeo yatoke wapo kimya sana! Inaoneka Meneja mambo ni kama baba Mlezi! Wizara ya michezo na utamaduni imeota mbawa!!
Hahahah wasafi wanafki. Sasa Makonda ndo atajua marafiki wa kweli ni kina nani.
 
Wasafi asubuhi na kabla ya matokeo ya Kigamboni walikuwa wanaposti na pia wakawa wanamposti Makonda baba mlezi. Tangu matokeo yatoke wapo kimya sana! Inaoneka Meneja mambo ni kama baba Mlezi! Wizara ya michezo na utamaduni imeota mbawa!!
Wasafi ni chalii, makonda, talle, mwakyembe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Matokeo ya kura za maoni CCM katika jimbo la Mtera - Lusinde atetea kiti.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Job Ndugai atetea nafasi yake Kongwa katika Kura za Maoni CCM... Ashinda kwa 96%

Zoezi la kuhesabu kura katika jimbo la Ilala limekamilika na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mussa Zungu amepata kura 148. Mussa Zungu -148 Sophia Mjema -103 Mendrad Mpangala- 07

Uchaguzi2020 Zoezi la kuhesabu kura za maoni, Jimbo la Kisarawe limekamilika na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo ameibuka mshindi. Selemani Jafo-588 Hassan Bangusilo- 1 Fransis Gosbert -1 Mohamed Masenga-1 Ally Goha -2 Zemba Mumbi -2 Zainabu Zowange-2 Chaulembo -3
Kwakweli ndugai,zungu imetosha,naomba Mungu wapumzishwe tu

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Back
Top Bottom