Hoja yako imekaa kihisia siyo kiuhalisia.
 

Kama Shuleni tu alikuwa hana Akili na hapo hapo tena Cheti alifoji, hivi hiyo Akili ya Kufanya ' Research ' ulitegemea iwemo ' Ubongoni ' mwake?
 
Jerry Slaa Usoni na katika Meno yake akitabasamu muda wote alikuwa ni mwana CCM, ila Moyoni hadi Rohoni kabisa alikuwa ni CHADEMA tupu!
Hapana. Alikuwa team Lowassa kabisa akiwa CCM. Yaani mtiifu. Hivyo ni kati ya wale aliyo na kinyongo nao. Jerry hajawahi kuwaza hata kuhamiachadema sema alijiingia Siasa za utimu au makundi ya wana CCM hatari
 
Kwa mara kwanza Nchini tunashuhudia uwazi nchini ya Mwenyekiti Taifa CCM Dr John Pombe Magufuli kwa jinsi Uchaguzi wa kura za maoni ndani ya CCM ulivyokuwa huru na uwazi tofauti na zamani



Kwa mara kwanza ile dhana Kwamba mwenye pesa ndo anapewa chapuo imeanza kukosa mashiko baada ya Takukuru kupewa Meno hasa kupitia mchakato ndani ya Chama chake


Kingine upigaji kuwa tumeshuhudia ukiwa ni wa Uwazi na karibu wagombea wote wameridhika na mchakato mzima wa kupiga kura na hili limeepusha mgogoro kwa wagombea wote


Kwa hili tunampongeza Mwenyekiti wa Chama Taifa Dr John Pombe Magufuli,Katibu Mkuu Dr Bashiru Ally pamoja Secretariet nzima kwa kazi nzuri kupitia mchakato huu wa kutafuta wagombea ndani ya Chama Mapinduzi


Natumai hata Uchaguzi wa mwezi kumi utaenda kuwa huru na wa haki kwa ustawi wa Taifa letu

Mungu Ibariki Tanzania

Alex Fredrick
Dar es salaam
afredrick59@gmail.com











 

Anatoa / Anatokwa Machozi ya nini sasa wakati inajulikana wazi wazi kuwa Kura hizo ni za Maagizo Maalum na kutoka Kwake Mtu Maalum nchini?
 
Kinje(Kilwa) ni vipi au kesho?
Munduli kwa familia ya Lowassa ni vipi?
 
Sijui Nani aliyemshauri kwenda huko wakati Jimbo la Kibamba lilikuwa wazi,
Kibamba kwa Mako ilikuwa haina dili....
sema ule upandet wa pili wa bahari jamaa alikuwa na maproject kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…