WANAOPITISHWA
I AZZAN
C.KIMEI
COSATO
M.ZUNGU
A.ABOOOOD
PROF NDALICHAKO
D.KILAVE
HASNA.MJL
J.TADAYO
M.MHITA
A.MAKANIKI
G.SIMBA CHAWENE(BABALAO)
E.SHIGONGO
 
Katika kura zilizonivitia ni hizi za Tunduma.
Silinde amehama kutoka Upinzani na hapo hapo akahama jimbo.
Ukitazama matokeo ya kura za maoni utaona ni kwa kiasi gani ameweza kujenga ushawishi ndani ya CCM katika muda mfupi.
Hapa ndio unaelewa ile hofu ya MNeC kutoka Tunduma.
All in All CCM inayo hazina ya taarifa ya mchakato ulivyoenda nchi nzima...yaani nani kashinda kwa kuchaguliwa bila kuhonga,nani kahonga na wakati gani alihonga.
Nani anakubalika na wananchi kwa ujumla nani ana uwezo wa kukinadi chama ndani ya jimbo,nje ya jimbo na kimataifa n.k

Kwa hiyo tushushe pumzi mchakato unaendelea.
 
Haya matokeo ya kihuni mnaleta hapa mengi sio ya ukweli, kisha yakitoka matokeo rasmi tunakuta ni mambo tofauti. Hiyo figure yako haiendani na matokeo.
Inashangaza sana Chadema badala mfikirie hali yenu mbaya ya kisiasa mnawaza matokeo ya Ccm.
 
Kumbuka kama Makonda hajui kujenga hoja, hajazoea kuulizwa maswali na huwa na majibu mafupi na ya kebehi/kiburi. Kama angeenda Ubungo angeshindana na Prof Mkumbo ambaye anajua kujieleza na kujenga Hoja. Kawe Wagombea ni wengi. Kibamba ni jimbo jipya na CCM haina nguvu.
 
Hawa wapuuzi flani walihama wakapewa nafasi CCM saivi wamewanyoosha, Shukwani ziwaendee CCM na mwenyekiti wao. Mwenyekiti kashamaliza teuzi za UDAS, URC, UDC, U-RAS, U-DED waliopoteza watajutia nafasi walizopoteza.

  • Mtulia
  • Katambi
  • Kafulila
  • Nassari
  • Silinde
  • Lijualikali

Wateule walioacha teuzi nao wamegaragazwa
  • Makonda

Wasanii waliojiforogoa kwamba wanaipenda CCM nao CHALIIIII

Wanaharakati CHALIIII!!

Vigogo CHALIII!
  • Kimei
  • Mwakyembe
 
Angekuja Kibamba asubuhi mapema angechukua jimbo.
 


Sisi huku Bashite wetu kachezea kichapo.
 
Kama mkristo na kama mtanzania naunga mkono hoja.. Sio kila kitu ni dini au kabila..
 
Hivi kale kambwa kasaliti kanaitwa lijuakali hakajapigwa chini?
 
Kigoma Mijini waislam ni wengi kwa maana hiyo wao ndiyo waamuzi wa nani awe mbunge.

Ni Kama Zanzibar. Pale Mkristo akigombea hawezi kushinda.

Kwa hiyo usitoe povu sana wakati mwenzako kasema ukweli
We jamaa unaelekea mdini sana! Kwahiyo Joyce kenda Kasulu kwa sababu anajua kwavile yeye ni Mkristo, na Kasulu wengi ni Wakristo, basi watamchagua kwa sababu ni Mkristo mwenzao sio?
 
Unachosema Ni sahihi kibamba ccm haina nguvu hivyo aliogopa kupetwa na John mnyika, kawe hata Kama angepita angekumbana na kisiki halima mdee, kimsingi makonda ni mwoga sana
 
Weka matokeo ya kura kudhihirisha hoja yako. Bila kuonyesha matokeo hatuna cha ku comment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…