Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Hivi vyamfukoni navyo huitwa viti maalumu?Mbarawa alipata kiti maalum hata baada ya kule jimboni kwake kushindwa 2015.
Me ninavyoelewa viti maalumu ni kwa nafasi za kina mama!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi vyamfukoni navyo huitwa viti maalumu?Mbarawa alipata kiti maalum hata baada ya kule jimboni kwake kushindwa 2015.
Silinde na lijualikali wao walijua wakiikashifu cdm watachaguliwa, kmbe ccm napo kna wenyeweHawa wapuuzi flani walihama wakapewa nafasi CCM saivi wamewanyoosha, Shukwani ziwaendee CCM na mwenyekiti wao. Mwenyekiti kashamaliza teuzi za UDAS, URC, UDC, U-RAS, U-DED waliopoteza watajutia nafasi walizopoteza.
- Mtulia
- Katambi
- Kafulila
- Nassari...
Wanabodi,
Kile kipute kigumu kuliko vyote cha kura za maoni CCM ni jimbo la Kawe
ambapo watu 176 wamejitokeza kuwania jimbo hilo.
Mimi mwana JF wako, Pasco Mayalla niko usawa huu kutuletea Live kipute hiki Kutoka Ukumbini wa Kiramuu Hall hapa Mbezi Beach, kushuhudia Upigaji Kura za Maoni CCM, Wagombea 176 Kuchuana Kumposa Halima Mdee Ili kumuoa na Kumpumzisha awe mama wa nyumbani.
Nani Kuibuka Kidedea?!.
Andamana nami.
Paskali
Ila Kawe napo pagumu,Mwenda,Sitta..Yes huyu nae yuko vzr ,mie namuweka nafasi ya tatu
Watakula walikopeleka mboga yy na bashitesafi sana.. maana alianza kuwa mnafiki kwa kujuana na takuru, akaombe kazi huko kama ni mjanja
Masai katoboa mchana peupeKapigwa chin Mollel tena saa 2 asubuhi
Mkuu huyo ana njaa ya Uteuzi ashaona habari hazilipiIt was not necessary kutumia hii lugha, inaweza kuwa ya kuuzi kwa Halima "Wagombea 176 Kuchuana Kumposa Halima Mdee Ili kumuoa na Kumpumzisha awe mama wa nyumbani"
Kwa kasi aliyonayo Mh. Rais na kwa sababu nchi inataka kuelekea uchumi mkubwa wa kati yaani higher middle economy country, hii kazi ya kuchagua wagombea wasingeachiwa wajumbe peke yao maana wao wanaweza fanya kwa maslaahi yao au kwa ushabiki ni bora hawa wagombea ubunge wangeteuliwa tu kwa maslahi ya taifa.Kwa kura za maoni zinavyoendelea ndani ya chama,ni wazi Sasa CC ya chama inapaswa Kuja na maamuzi ya busara zaid huku wakijiridhisha Kama Kuna kitu nyuma yake,binafsi kwa mwenendo was hizi kura za maoni kunaonekana bado Kuna kimtandao kinajijenga chini kwa chini,huku wakiendekeza mihemuko ya chuki na kuandaa mazingira ya kulinda maslahi yao ambayo yalikomea awamu ya nne.
Kwa jicho lingine waangalie Hawa wazee walopita kwa kura za maoni waekwe pembeni kupisha vijana wajenge nchi.
Wazee Hawa ndo was miaka nenda Rudi na ndiyo mzee yao bungeni huku wakisinzia muda mwingi wa vikao,wanakua macho muda wa uchaguzi tu huku wakitumia mbinu nyingi chafu kupata nafasi za uwakilishi.
Mh.Katibu mkuu hapa ndipo utapoonyesha no namna gani unajenga chama na si kukirudisha kule kilipotoka.
Ni wazi kabisa Baba Askofu Mkuu Mwanzilishi, Mbeba Maono, Nabii na Mtume, Dkt. G (PhD) ataibuka kidedea ili kupanua huduma. Vipi waumini wameshafika wangapi hapo?Wanabodi,
Kile kipute kigumu kuliko vyote cha kura za maoni CCM ni jimbo la Kawe
ambapo watu 176 wamejitokeza kuwania jimbo hilo...
Mkuu hayo mambo ya Kenya! Ukiuparamia urais ukashindwa, hakuna muda tena wa kukimbilia fomu za ubunge kutest zali katika kipindi hicho hicho ki1 cha uchaguzi.Yule itakuwa siasa za Zanzibar hajajijenga sana. Maana hata kwa Kikwete aliingia kwa viti maalum. 2015 akajaribu jimbo akakosa. Urais nao this time kakosa. Labda this time atapata jimbo ?Bora kujaribu.
Ok dogo.. umeshinda!Na Siku zote hapa Jamvini ' Brainiac ' GENTAMYCINE huwa Napuuzwa na Wapumbavu / Mapopoma kama Wewe na akina Damian J Ntundagi.
Haya mkuu[emoji85]Hahaha fanya utafute mwenza.
You are out of your mind you hate monger. People don't vote religion, they vote merits possessed by a candidate.Kigoma Mijini waislam ni wengi kwa maana hiyo wao ndiyo waamuzi wa nani awe mbunge.
Ni Kama Zanzibar. Pale Mkristo akigombea hawezi kushinda.
Kwa hiyo usitoe povu sana wakati mwenzako kasema ukweli
Kumbe wewe roho ya kishetani inaishi ndani yako ndiyo maana umechukia kuona Ndungulile kashinda?Roho ya kishetani itakua inaishi ndani ya moyo wako,kuona mtu hajafanikiwa basi ndo furaha yako