Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wachaga wenyewe wamemkataaAkwende zake huko, jamaa ni mkabila aliifanya CRDB kuwa ya Wachagga tupu. Hovyo kabisa!
Yes huyu nae yuko vzr ,mie namuweka nafasi ya tatuKarata yangu kwa Benjamin Sitta
ChaliiiiiiHivi kale kambwa kasaliti kanaitwa lijuakali hakajapigwa chini?
Na Gwaji boy?Chaliiiiii
Wote walishinda asubuhi sanaHivi Nape na January Makamba hawajatia nia kwenye majimbo yao!?
Na safari hii dhana na tuhuma za upendeleo wa kubebwa zinawekwa sawa.Viti maalum havitolewi kwa walioomba kura za wananchi wakashindwa kuzipata. Kwa Makonda akiwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ndiyo the most prestigious position kwa wakuu wa mikoa halafu akaipiga sadaka alikosea sana. Ni afadhali kutumbuliwa na mtu mmoja aliyekupa madaraka hayo kuliko kushindana na watu wengi na ukaonekana kuwa hufai.
CCM original wanapiga spana hatariHahahaaaaaaaaa a ASA ASA Mpwaaaaaa balaaa siasaa wachatule mamboyetu badalayakuwazaa PESA walizogaia wajumbe BADOO wamenyooshwaa
Na Mashinji?Na Gwaji boy?
Peter Lijualikali Kura 4 ....WANA IZENGO WAMEMUAMBIA MWENYEKITI WAO KWA NGUVUUUUUUUUU KUWA WALIKUWA HAWAPENDEZWI NA TABIA YA KUNUNUA WABUNGE NA MADIWANI NA KULAZIMISHA WAGOMBEEE .........Ni wazi hata MaCCM hayakupendezwa kabisaaaaa na biashara ya kununua Wabunge wa upinzani. Waliojiuza wengi hadi sasa wamepigwa chini. Wengine wamepata kura nusu ya umri wao. Ni wakati sahihi, hata kwenye teuzi hizo wasipate, watakula walipopeleka mboga.
Roho ya kishetani itakua inaishi ndani ya moyo wako,kuona mtu hajafanikiwa basi ndo furaha yakoMwambie Bashite aliyekutuma kuwa huu ndiyo muda wake wa kwenda kuendelea na kazi yake ya upishi kwenye meli ya wagirikiView attachment 1512479
Safi sana.. maana alianza kuwa mnafiki kwa kujuana na takukuru, akaombe kazi huko kama ni mjanjaChaliiiiii