Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Chenge hana mpinzani keshawaroga wanyantuzu ni mbunge wao foreverWakuu naombeni taarifa za Andrew chenge.
Makonda out this is absolutely good.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chenge hana mpinzani keshawaroga wanyantuzu ni mbunge wao foreverWakuu naombeni taarifa za Andrew chenge.
Makonda out this is absolutely good.
Waitara leo ndio siku yaoWaitara simuoni hapa yeye yupo team gani?
Hajakatwa kakalia tu kitu chenye ncha kali.Kwani bashite amekatwa? Mbona mnaongea ongea tu kama mpo snapchat!?
Hayo ni mazoea ya kunyenyekea watu japo wanaharibu,na ndo Mana nchi tuliikuta hohe hahe kwa kuweka tamaa ya kula mema ya nchiKwa hiyo ndugulile ana hela kuliko bashite?? Ishi vizuri na watu ule mema ya wananchi.
Hivi na yeye katia nia tena?Chenge hana mpinzani keshawaroga wanyantuzu ni mbunge wao forever
Mwankyembe huko niaje?CCM siyo chama rafiki kwa wanyonge. Pamoja na muamko mkubwa uliooneshwa wanyonge ktk uchaguzi huu kuchukuwa fomu za kugombea ubunge, lkn hakuna hata mmoja ambaye ni mnyonge atapata nafasi ya kupitishwa.
Kwanini? Kura za maoni wengi wao wamepata sufuri kabisaa! Ndiyo kisema hata majina yao hayawezi kupelekwa kwa " "mzee wa mood" (a.k.a inategemea nimeamkaje).
Wenye nazo tu ndiyo wamejizolea kura nyingi karibu kila Jimbo.
Shauri zenu......!!!!
Alitia nia mapema sanaHivi na yeye katia nia tena?
Huyu ngoja asitaafishwe kwa nguvu
JESUS IS LORD[emoji120]
Hata wakiteuliwa ukweli utabaki palepale walishindwa wakabebwaMkishangilia sana wote wanakula uteuzi tena.
Hao ni wabunge wa kuteuliwa na raisi (nafasi 10) ni tofauti na viti maalumu ambao hupigiwa kura na wajumbe toka makundi watakayoyawakilishaHivi vyamfukoni navyo huitwa viti maalumu?
Me ninavyoelewa viti maalumu ni kwa nafasi za kina mama!
Sitoki hapa hadi nipate matokeo ya huyo mfuasi wa bro Suguye najua Suguye kamwombea waitara ili apite then sadaka ipelekwe pale kivuleWaitara leo ndio siku yao
Nani wa kumstaafisha huyo mwamba.Hivi na yeye katia nia tena?
Huyu ngoja asitaafishwe kwa nguvu
JESUS IS LORD[emoji120]
Imeniuma Sana ndg,Ni nani huyo mbona hujamtaja?
JESUS IS LORD[emoji120]