Silinde na lijualikali wao walijua wakiikashifu cdm watachaguliwa, kmbe ccm napo kna wenyewe
Wanawacheki tu

Ova
 

It was not necessary kutumia hii lugha, inaweza kuwa ya kuuzi kwa Halima "Wagombea 176 Kuchuana Kumposa Halima Mdee Ili kumuoa na Kumpumzisha awe mama wa nyumbani"
 
It was not necessary kutumia hii lugha, inaweza kuwa ya kuuzi kwa Halima "Wagombea 176 Kuchuana Kumposa Halima Mdee Ili kumuoa na Kumpumzisha awe mama wa nyumbani"
Mkuu huyo ana njaa ya Uteuzi ashaona habari hazilipi
 
Laana ya kutukana na kupiga makofi wazee wa rika la baba yako huwa haimuachi mtu salama! Kama ukifuatilia vizuri utagundua Makoinda ni mmoja wa maRC ambao walikuwa watumbuliwe asubuhi kabisa ya serikali ya awamu ya tano! Kwa kuna kashfa ya vyeti fake na kuna uvamizi wa kituo cha redio Clouds FM.

Tangu hapo ilionyesha wazi kuwa alikuwa anabebwa tu na mamlaka za uteuzi lakini yeye akajiaminisha kuwa ni uwezo wake binafsi, akijivika kiburi, akajikuza na kudharau kila mtu huku haachi kutukana viongozi wenzake tena hadharani kisa ni viongozi wa upinzani! Sasa atulie dawa imuingie!
 
Kwa kasi aliyonayo Mh. Rais na kwa sababu nchi inataka kuelekea uchumi mkubwa wa kati yaani higher middle economy country, hii kazi ya kuchagua wagombea wasingeachiwa wajumbe peke yao maana wao wanaweza fanya kwa maslaahi yao au kwa ushabiki ni bora hawa wagombea ubunge wangeteuliwa tu kwa maslahi ya taifa.
 
Wanabodi,
Kile kipute kigumu kuliko vyote cha kura za maoni CCM ni jimbo la Kawe
ambapo watu 176 wamejitokeza kuwania jimbo hilo...
Ni wazi kabisa Baba Askofu Mkuu Mwanzilishi, Mbeba Maono, Nabii na Mtume, Dkt. G (PhD) ataibuka kidedea ili kupanua huduma. Vipi waumini wameshafika wangapi hapo?
 
Yule itakuwa siasa za Zanzibar hajajijenga sana. Maana hata kwa Kikwete aliingia kwa viti maalum. 2015 akajaribu jimbo akakosa. Urais nao this time kakosa. Labda this time atapata jimbo ?Bora kujaribu.
Mkuu hayo mambo ya Kenya! Ukiuparamia urais ukashindwa, hakuna muda tena wa kukimbilia fomu za ubunge kutest zali katika kipindi hicho hicho ki1 cha uchaguzi.
 
Wakuu naombeni taarifa za Andrew chenge.

Makonda out this is absolutely good.
 
Kigoma Mijini waislam ni wengi kwa maana hiyo wao ndiyo waamuzi wa nani awe mbunge.

Ni Kama Zanzibar. Pale Mkristo akigombea hawezi kushinda.

Kwa hiyo usitoe povu sana wakati mwenzako kasema ukweli
You are out of your mind you hate monger. People don't vote religion, they vote merits possessed by a candidate.

According to your hateful comment, Muslims in Ujiji won't vote for Magufuli because he is Christian?

That wasn't the case in 2015 election where Muslims in Ujiji and around the country voted overwhelmely for Magufuli. The same happened in Zanzibar.
Stop being stupid, with your stupid accusations.
 
Wasalaam,
Kama tunavyofahamu mchakato wa kuwapata Wagombea kupitia CCM unaendelea.Lakini moja ya eneo ambalo limefuatiliwa kwa kila namna ni Jimbo la Kigamboni ambapo Makonda alitia nia.

Kabla na Baada ya mchakato nilijaribu kupita baadhi ya maeneo maarufu kwa vijiwe,usafiri wa daladala huko kote hawajadili kuhusu jimbo lao zaidi ya Paul Makonda.Mimi pia nilikuwa nafatilia zaidi Mashaka Mrisho kule Arusha Mjini naona yeye amepeta vizuri.

Hivi ni kipi hasa kimepelekea watu wawe na Mhemuko wa kufuatilia mchakato katika jimbo la Kigamboni ambapo Makonda aliweka nia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…