Kwa hiyo ndugulile ana hela kuliko bashite?? Ishi vizuri na watu ule mema ya wananchi.
Hayo ni mazoea ya kunyenyekea watu japo wanaharibu,na ndo Mana nchi tuliikuta hohe hahe kwa kuweka tamaa ya kula mema ya nchi
 
Mwankyembe huko niaje?
 
Hakika wenye Uchungu na Chama chao cha CCM wa meamua kuuthibitishia Uongozi wa CCM Taifa kuwa Mpango wao na biashara yao na Waunga Mkono Juhudi wao wakiwa ndio wenye CCM yao Hawakuutaka wala Kuupenda ndio maana ktk hizi Chaguzi za Kura za Maoni wameamua Kuwakataa Mchana Kweupe.

Nadhani hili ni funzo kwa Viongozi wa CCM wa ngazi za juu na wote waliohusika kuuandaa Mpango huu. Na hili pia ni funzo kwa Wasaliti wote kwa maneno ya kejeli na matusi kwa viongozi wa Chadema hasa Mwenyekiti wao Mh Mbowe ,hakika Mh.Mbowe Mungu kakulipia hapa hapa Duniani.
 
Wapinzani mkiweza kuunganisha nguvu mkaweka mgombea mmoja mwenye nguvu mnalichukua jimbo la Nyamagana mapema sana. Huyu jamaa aliepitishwa ni waliokula hela yake tu wanamkubali, mtaani hamna anaemuelewa. Ijieni jimbo mtalichukua mapema
 
Hivi vyamfukoni navyo huitwa viti maalumu?
Me ninavyoelewa viti maalumu ni kwa nafasi za kina mama!
Hao ni wabunge wa kuteuliwa na raisi (nafasi 10) ni tofauti na viti maalumu ambao hupigiwa kura na wajumbe toka makundi watakayoyawakilisha
 
Nchambi au?

Juzi pale Dodoma Nchambi alikua anakata mauno jukwaani balaa kila nyimbo hakosi akitaka Magu amuone vzr anavyojitoa kwa chama kwa kukata uno kwa ustadi wa hali ya juu.

Ila huyu nna wasiwasi kama hatakatwa na wajuba kule juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…