Kiujumla utaratibu wa wajumbe wachache kupiga kura huu utaratibu ni mbaya sn.
 
Nchambi au?

Juzi pale Dodoma Nchambi alikua anakata mauno jukwaani balaa kila nyimbo hakosi akitaka Magu amuone vzr anavyojitoa kwa chama kwa kukata uno kwa ustadi wa hali ya juu.

Ila huyu nna wasiwasi kama hatakatwa na wajuba kule juu.
Yani inasikitisha mno
 
Nchambi au?

Juzi pale Dodoma Nchambi alikua anakata mauno jukwaani balaa kila nyimbo hakosi akitaka Magu amuone vzr anavyojitoa kwa chama kwa kukata uno kwa ustadi wa hali ya juu.

Ila huyu nna wasiwasi kama hatakatwa na wajuba kule juu.
Magufuli kivuli chochote kinachomzuia yeye ku shine ana fyeka tu. Kashfa ya jamaa inamuwekea mwenyekiti kiwingu.
 
Uko Sawa kabida
 
Huyu jamaa aliwahi kudai wabunge wote hawatakiwi kuwa Dar wakati Bunge likiendelea Dodoma na kwa maana hiyo kwa Mkoa aliokuwa anauongoza wa Dar wabunge waliokuwepo huko wote wakamatwe. Vivyo hivyo naye kwa sasa hana kazi ya kufanya Dar kwani anatakiwa arudi Koromije kule Misungwi akampigie kuraswaiba wake Mnyeti.

Kwa maana hiyo RPC Kanda Maalum ya Dar please Kamata huyo mtu mara tu atakapoonekana yupo Dar. Apewe siku 3 tu za kufungasha mizigo yake aanze safari ya kuelekea, Koromije, Misungiwi, Mwanza.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Haki ya Mungu tena sometimes siasa tamu sana!
 
Na hii ndio sababu iliyochangia watu wengi wakachukia ccm naamini ccm mpya itakuwa na sura mpya nyingi zenye kiu na uwezo wa kulipeleka taifa mbele sioni sababu ya mtu aliyekuwa mbunge kwa vipindi kadhaa na hakufanya lolote kurudi tena bungeni.

Taifa lina vijana wengi wazalendo ambao wangeweza kuwa viongozi wazuri lakini hata pesa ya kuchukua form walikosa naimani sana JPM hatotuangusha.
 
Wasafi asubuhi na kabla ya matokeo ya Kigamboni walikuwa wanaposti na pia wakawa wanamposti Makonda baba mlezi. Tangu matokeo yatoke wapo kimya sana! Inaoneka Meneja mambo ni kama baba Mlezi! Wizara ya michezo na utamaduni imeota mbawa!!

Wakuu hivi Bab tale naye naskia aligombea matokeo yake vipi?
 
Sasa we una wasiwasi wa nini? Kwani hujaona taarifa ya Polepole?
 
Mkoromije anaenda kupika kwenye meli ya Wagiriki, tena wale mabeberu haswa, wanaodaditishwa na msambwanda
 
Wabunge

Wabunge wazamani wametembeza rushwa sn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…