Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Round ya kwanza tu konde lilikuwa la uzito gan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
You are out of your mind you hate monger. People don't vote religion, they vote merits possessed by a candidate.

According to your hateful comment, Muslims in Ujiji won't vote for Magufuli because he is Christian?

That wasn't the case in 2015 election where Muslims in Ujiji and around the country voted overwhelmely for Magufuli. The same happened in Zanzibar.
Stop being stupid, with your stupid accusations.


Ungenijibu kwa lugha ninayoielewa ili niweze kukujibu mkuu
 
Wale wajumbe wapiga kura wengi maisha magumu tu ndo maana wanauza haki zao kwa 100k.

Basi Kama huyo jangili ana upepo akaihonge na Kama kuu ya CCM chini ya jiwe JPM.
 
IMG_20200721_002047.jpg
 
Toka amefiwa na mkewe hayupo sawa
Na kipindi kile anaongea kwa nyodo kwamba "mimi mtu wa darasa la 2 ataniambia nini, wakati nina degree 4, nimefundishwa vyuo mbalimbali duniani, we darasa la 2 utaniambia nini!" Ina maana wakati ule alikuwa ameshafiwa na huyo mkewe?
 
We jamaa unaelekea mdini sana! Kwahiyo Joyce kenda Kasulu kwa sababu anajua kwavile yeye ni Mkristo, na Kasulu wengi ni Wakristo, basi watamchagua kwa sababu ni Mkristo mwenzao sio?


Ameshachaguliwa tayari. Mimi siyo mdini ila Nina dini na sijabagua mtu ila nimetoa maoni yangu
 
Yani Jangili, jambazi Suleiman Nchambi mmelipitisha tena liwatumikie miaka 5 ijayo!!!!

Inauma Sana kwa kweli.

Nmeambiwa jamaa kagawa mkwanja kwa kila Mjumbe laki moja ,hapo si mnawauza mnaowawakilisha.

Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536

Mbunge wa Kishapu(CCM), Suleiman Nchambi aliyekutwa na silaha 16 aburuzwa mahakamani, asomewa mashitaka 12

Huyo jina likienda Dodoma halirudi, trust me, majangili hayana nafasi awamu hii, jina lake likienda Dodoma litabakia huko
 
Back
Top Bottom