Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
IMG_20200721_001815.jpg
 
"Kumposa Halima Mdee Ili kumuoa na Kumpumzisha awe mama wa nyumbani." - Pascal Mayalla ... inaonekana unapenda sana chini
Mkuu Kuhani Noah, kila kiumbe rijali ni lazima kupenda hili tunda, nimesema kumposa, kumuoa na kumtuliza, hivyo kuoa ni jambo la kheri, ningekuwa tamtamani kumpitia tuu, then ndio ungesema napenda sana chini! na huo ni uharibifu, lakini kumpenda mtu kwa lengo la kumuoa, ni jambo zuri, ni jambo jema na ni jambo lla kheri.

P
 
Ameshachaguliwa tayari. Mimi siyo mdini ila Nina dini na sijabagua mtu ila nimetoa maoni yangu
If so, basi unashangaza kwa sababu wakati unasema ww si mdini, lakini unaamini wenzako ndo wadini, na uli-conclude bila hata ya kufanya utafiti!

Kufahamu tu kwamba Ujiji ni Waislamu, kwako ikatosha kabisa kuamini hawawezi kuchagua Mkristo wakati kabla ya Zitto hapo hapo kulikuwa na Mkristo!!
 
KATIKA JAMBO AMBALO NALIONA NI LA AJABU SANA NI BONNA KALUA KUFAULU KUPITA JIMBO LA SEGEREA ILIHALI HAKUNA CHOCHOTE ALICHOFANYA KATIKA JIMBO HILI NI BORA HATA MAKONDA ANGEKUJA HUKU SIJUI WASHAURI NWAKE WALIKUWA AKINANANI
 
  • Thanks
Reactions: nao
Waliokuwa na mipango ya kutimka kutoka upinzani sasa hivi wamebadili fikra zao kwa yaliyotokea kwenye kura za maoni, Asili haiachi asili, usaliti hautasimama kamwe.
 
Endeleeni kuwapongeza madikteta wasiopenda demokrasia kwa kutoruhusu kushindanishwa na mtu mwingine, huu ndio ujinga wa Africa.
 
Back
Top Bottom