Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itafaa sana hilo jimbo likienda kwa upinzaniYule aliyepata hujuma ya ujangili wa wanyama pori.
Mkuu Kuhani Noah, kila kiumbe rijali ni lazima kupenda hili tunda, nimesema kumposa, kumuoa na kumtuliza, hivyo kuoa ni jambo la kheri, ningekuwa tamtamani kumpitia tuu, then ndio ungesema napenda sana chini! na huo ni uharibifu, lakini kumpenda mtu kwa lengo la kumuoa, ni jambo zuri, ni jambo jema na ni jambo lla kheri."Kumposa Halima Mdee Ili kumuoa na Kumpumzisha awe mama wa nyumbani." - Pascal Mayalla ... inaonekana unapenda sana chini
If so, basi unashangaza kwa sababu wakati unasema ww si mdini, lakini unaamini wenzako ndo wadini, na uli-conclude bila hata ya kufanya utafiti!Ameshachaguliwa tayari. Mimi siyo mdini ila Nina dini na sijabagua mtu ila nimetoa maoni yangu
Mkuu kwa hilo you got it wrong,mwananchi wa Tz hajawahi kuwa na hayo mamlaka ya kuchagua kiongozi wa kisiasa.Na Nani awe mbunge itategemea wananchi wataamkaje
Anapanuliwa leo huyo.Na Gwaji boy?
Kulikono wakuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nchambis yuko jimbo gani?,au kastaafu?
Rombo kashinda Prof Mkenda, akichaguliwa kuwa mbunge anakwenda kuwa waziri wa utalii.Jimbo la Rombo jaman
Naona hapo mtoto wa Pinda alitaka atembelee nyota ya dingi yake jamaa wakamnyoosha bila shida.