[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahRound ya kwanza tu konde lilikuwa la uzito gan
You are out of your mind you hate monger. People don't vote religion, they vote merits possessed by a candidate.
According to your hateful comment, Muslims in Ujiji won't vote for Magufuli because he is Christian?
That wasn't the case in 2015 election where Muslims in Ujiji and around the country voted overwhelmely for Magufuli. The same happened in Zanzibar.
Stop being stupid, with your stupid accusations.
Hiyo kali aisee
NDIO anapambana na Mzee wa KATIBAHivi Musiba alitia nia kule Mwibara?
Hakika!🤗🤗🤗usitukane ukunga na uzazi ungalipo
Leo ndiyo nimepata maana ya hii methali tangu mwaka 1980 nilipoijua kwa mara ya kwanza
Na Nani awe mbunge itategemea wananchi wataamkajeMkuu hayo ni maoni tu kwa kamati kuu,maamuzi ya nani agombee na nani asigombee yatategemea na mwenyekiti alivyoamka
Na kipindi kile anaongea kwa nyodo kwamba "mimi mtu wa darasa la 2 ataniambia nini, wakati nina degree 4, nimefundishwa vyuo mbalimbali duniani, we darasa la 2 utaniambia nini!" Ina maana wakati ule alikuwa ameshafiwa na huyo mkewe?Toka amefiwa na mkewe hayupo sawa
We jamaa unaelekea mdini sana! Kwahiyo Joyce kenda Kasulu kwa sababu anajua kwavile yeye ni Mkristo, na Kasulu wengi ni Wakristo, basi watamchagua kwa sababu ni Mkristo mwenzao sio?
Seleman NchambiNi nani huyo mbona hujamtaja?
JESUS IS LORD[emoji120]
Wewe usilete matusi hapa,Wivu unakusumbua... Kunya tikiti utulie
Yani Jangili, jambazi Suleiman Nchambi mmelipitisha tena liwatumikie miaka 5 ijayo!!!!
Inauma Sana kwa kweli.
Nmeambiwa jamaa kagawa mkwanja kwa kila Mjumbe laki moja ,hapo si mnawauza mnaowawakilisha.
Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536
Mbunge wa Kishapu(CCM), Suleiman Nchambi aliyekutwa na silaha 16 aburuzwa mahakamani, asomewa mashitaka 12
CCM ni ile ile!Imeniuma Sana ndg,
Staki hata kumtaja