Kwani sheria inasemaje kuhusu mgombea ubunge aliyepata kuhukumiwa mahakamani kwa makosa ya jinai?
 
Ni kweli, vijana wapewe nafasi ila kipaumbele kiwe uwezo wa mtu katika kutenda. Kigezo cha umri tu hakiyoshi badala yake waangalie watu wenye uwezo wa kuwaletea wananchi maendeleo
Rais atakuwa na wigo finyu Sana kupata mawaziri anajaziwa wazee na under performers. Bado rushwa bado IPO
Hivyo cc wanafanye KAZI Yao Kwa maslahi ya nchi.
 
Naomba niweke wazi tu kuwa ambavyo watu wameonyesha hisia zao mitandaoni juu ya anguko la Makonda katika kura za maoni,leo tutarajie kuona hisia za aine ile ile na pengine hisia kali zaidi iwapo Gwajima nae ataenda kuangukia pua katika kura za maoni za Jimbo la Kawe.

Alafu watu wote hawa wana asili ya eneo moja-Koromije!!

What a coincidence will be!!!
 
Hakika tunasubiri kwa hamu kubwa kipigo cha mbwa koko, kitakachompata huyo anayejiita mtumishi wa Mungu
 
Kama alivyomfuta Makonda kwenye ulimwengu wa siasa na yeye pia anaenda kufutwa kwenye ulimwengu huo huo aliotumia kumfuta mwenzake kwenye siasa, Karma itajibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…