Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,119
- 4,569
Kwani sheria inasemaje kuhusu mgombea ubunge aliyepata kuhukumiwa mahakamani kwa makosa ya jinai?Yani Jangili, jambazi Suleiman Nchambi mmelipitisha tena liwatumikie miaka 5 ijayo!!!!
Inauma Sana kwa kweli.
Nmeambiwa jamaa kagawa mkwanja kwa kila Mjumbe laki moja ,hapo si mnawauza mnaowawakilisha.
Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536
Mbunge wa Kishapu(CCM), Suleiman Nchambi aliyekutwa na silaha 16 aburuzwa mahakamani, asomewa mashitaka 12