Kyela
Ally Kinanasi =502
Harrison Mwakyembe =252
 
Mwaka flani nlisikia audio moja ya mdada mmoja wa kinyakyusa akimkataa mwakyembe na kusema si mnyakyusa.yule mdada alisema anawafahamu wanaume wa kinyakyusa hawapo kama mwakyembe.

Alienda mbali sana na kusema mwakyembe ashakuwa mswahili sana.mwaka 2015 tunajua mwakyembe alipita kwa nguvu sana hata yeye mwenyewe alikuwa anajua hilo.

La kushangaza bado hakuweza kupata ufaham pamoja na kuwa na phd ya sheria jamaa ni kilaza sana.hata hajui kujenga hoja jadidi. Mara nyingi hukimbilia kwenye elimu yake.

Sasa wana Kyela wamemkataa kwenye kuta za maoni.hao ndo wanyakyusa.hawana unafiki.hawakuangalii usoni.wanapokubadilikia hukubadilikia hasa.unaweza wahonga wakala pesa zako na bado wakaja kukukataa.

Mwakyembe alikuwa mtu wa hovyo hovyo.mwenye kujipendekeza na aliyepoteza mwelekeo kabisa.hongereni wana kyela.mimi nimewashindwa nyie watu.mpo serious sana.

Moderator jasili isomeke jasiri please
 
Hivi zile zilikua ni akili zake ama kuna mtu alikua akimdanganya,Hatawasahau wazee wa kigamboni
 
Asubiri kidogo mkuu,kuna mwenzake wa Koromije aitwae Gwajima nae atakatwa leo ili wapeane lift kwny gari warudi wote koromije.
 
I
Kwani unatakaje?
 
KATIKA JAMBO AMBALO NALIONA NI LA AJABU SANA NI BONNA KALUA KUFAULU KUPITA JIMBO LA SEGEREA ILIHALI HAKUNA CHOCHOTE ALICHOFANYA KATIKA JIMBO HILI NI BORA HATA MAKONDA ANGEKUJA HUKU SIJUI WASHAURI NWAKE WALIKUWA AKINANANI

Funga mdomo that woman worked very hard.
 
Gwajima chaliiiii mapema tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…