Mlitegemea Magufuli awapitishe huko CCM kisha awaibie kura hapo October 25. Imekula kwenu tokea lini CCM ikiwa rafiki kwa vijana? Vijana kwao ni Upinzani. By the way Hugo Magufuli mwenyewe na hali mbaya alafu mlitegemea awapiganie nyinyi badala ajipiganie mwenyewe.

Pambaneni na hali zenu na tamaa zenu za fisi. Mmeteuliwa hamliziki mnakimbilia ubunge,nyambafu nyie.
 
Sasa kama umeshiba mbona anaendelea kula tu
Huo si ndiyo urohoo+ulafi
Wajumbe walikuwa wanamtazama tu [emoji23][emoji23]wanasema tunakusubiria

Ova
Huyu mzee alikuwa mlafi
Ameng'ang'ana kama kupe.
Apumzike wenzie wale.
 
Kishap wengi shule hamna ni wilaya iliyolala kabisaa
Kuna Dogo wa Kamanda wa polisi wa Zamani Lucas Nghoboko alitia Nia kule, Sijui matokeo Yake; NIlisoma naye Kabla sijakuja Ughaibuni.
Kishapu ni hali mbaya Mnoo, Nilikuwa nikienda nakaa kwao sana, yani hali sio nzuri kabisa;
 
@pasco naomba unijibu je ule uzi wako kuwa wanaounga juhudi wanaona mbali kwa matokeo haya umeona hali halisi ilivyo angalia jinsi waunga juhudi wanavyomabulia mtu mpaka top 3 hayupo unategemea nini
 
Hakika tunasubiri kwa hamu kubwa kipigo cha mbwa koko, kitakachompata huyo anayejiita mtumishi wa Mungu
Gwajima mjinga sana .......... nimemsikia juzi anaongea kanisani kwakwe kuhusu kugomea ubunge , anajaribu kuwaaminisha wafuasi wake kama vile katumwa na Mungu kugombea!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…