Umetumia lugha ya udhalilishaji wa kingOno. .. ushabiki maandazi wenu ndio maana mmewekwa mfukoni
 
Umenikumbusha mbali wakati ule magazeti yake udaku yapo juu Sana alivyoyatumia kumpaka matope Amina Chifupa...

Jamaa wa siku nyingi sana na ukumbuke awamu zote hizo alikuwa anatoa hela tu bila marejesho.

Na watu aina ya Shigongo wengi sana ndani ya CCM wamewekeza ubunge miaka na miaka.

Halafu utegemee muunga juhudi awamu ya tano utatoboa kirahisi ndani ya msitu wa CCM thubutu.
 
Kura zitapigwa tena kuwashindanisha hao wawili tu. Wakifungana tena wanarusha shillingi. Shigongo anaweza kupenya. Nguvu ya global tv si ya kuchezea.
Halafu Shigongo ni mfadhili mkubwa snaa wa CCM.
 
Naombeni List ya Tabora Mjini[emoji112]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…