Ndugu wajumbe mnao tegemea kupiga kura za Maoni jimbo la Kawe, itapendeza gwajima kama atatoa ufafanuzi wa hoja zifuatazo.

Mosi:hoja ya kuifanya misikiti kua Sunday schools, alimaanisha nini hasa. ?

Pili :hoja ya yeye kuapa kua hawezi kua rais, waziri au mbunge kwa kigezo cha kujishushaaa cheo, vipi leo awe tayari kuutaka ubunge. ?

Tatu :rushwa, kwanini alipo kua viwanja vya tanganyika pekasi alitumia sana rushwa kumhonga hasani ngonyani alie kua mwenyekiti wa kawe mzimuni na wajumbe wa sisim ili wapunguze malalamiko juu ya kelekelee alizokua anasababisha. ? . Askofu ma rushwa wapi na wapi? .

Mwisho. Kwanini anapotoa msaada kwa jamii au tasiisi inageuka nongwa. ? . Ana anza kuwasimanga. ?
 
Duniani hakuna hali ngumu kama waliyo nayo kina Lijualikali na Silinde ......yaani ulikotoka hawakutaki na ulipo hawakutaki....unaweza kuwa chizi ....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Probably, Mwakyembe could have archived far more in his life if he only had a first degree. His PhD is his downfall! Egoism is the usual suspect!! Stay humble
 
Mbona hesabu inagoma, inawezekana vipi 84+80+46+22+3+2=237 alafu wajumbe 555 ina maana wajumbe 318 wamekataa kupiga kura?
Mara nyingi waliochukua timu ni wengi sana na wagombea wa kura nyingi ndo hutajwa
 
Taarifa za ndani za kila mtia nia.
Taarifa za mwenendo wa watia nia kabla na nyakati za uchaguzi
Taarifa za rushwa na kashfa za kila mtia nia na ambazo zinaweza kutumiwa hapo mbeleni.
Taarifa ya baadhi ya figisu za kamati za siasa
Taarifa ya watia nia pandikizi
Taarifa za kukubalika kwa mgombea ndani na nje ya CCM.
N.K

CCM OYEEE!
 
Hata wakiteuliwa ukweli utabaki palepale walishindwa wakabebwa
Kushindwa ni sehemu ya maisha tu wala siyo issue.

Njia pekee ya kuepuka kushindwa ni kutokufanya chochote.
 
Mambo moto sana! matokeo yanafurahisha sana, kinachotakiwa maoni ya wajumbe yaheshimiwe katika ngazi zote, yatakayopitia
 
CCM imeharibu mfumo wa nchi nzima kuanzia kwenye siasa, uchumi, utamaduni, elimu, maadili na kila kitu.
CCM Ni chama kilichoasisi ufisadi na kuwakumbatia mafisadi.
Hata Magufuli anacheka na wezi na anawapa vyeo.
Takukuru walishasema Andengenye na Kangi Lugola wamethibitishwa Wana kesi ya kujibu, lakini mwenyekiti wa CCM ndio Kwan anawapa tena nafasi nono zaidi.
Ule wizi wa trillion moja uliwezekanaje bila Nsumba Ntale kujua?
 
Hata kiswahili nacho ni lugha ya malkia cocastic ati, Loooh!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka hadi baas, ila kiukweli ki malkia cha uncle kinanipa fikirishi san kulingana na Elimu yake, status mmmmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…