Halafu ni mkosoaji mkubwa wa Mh Zitto; hawezi hamia ACT
 
Umeshajiuza mkuu. Tunasubiria matokeo
 
Halafu ni mkosoaji mkubwa wa Mh Zitto; hawezi hamia ACT
Zitto alimsaidia Sana kushinda huo Uchaguzi, baadae kafulila kapata jina akaanza kumvimbia KIZITO....Rafu aliyochezewa 2015 inasemekana KIZITO alihusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…