Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Mbunge aliyatamba na kupata jina katika awamu yake moja ya ubunge (2010-2015) chini ya NCCR-Mageuzi bwana David kafulila amepigwa za uso na Mbunge aliyemaliza muda wake katika jimbo Hilo,Hasna Mwilima.
Dhambi ya usaliti wa upinzani haitawaacha salama, wajifunze kulidhika.View attachment 1512628
Halafu ni mkosoaji mkubwa wa Mh Zitto; hawezi hamia ACT
 
Mkuu Kuhani Noah, kila kiumbe rijali ni lazima kupenda hili tunda, nimesema kumposa, kumuoa na kumtuliza, hivyo kuoa ni jambo la kheri, ningekuwa tamtamani kumpitia tuu, then ndio ungesema napenda sana chini! na huo ni uharibifu, lakini kumpenda mtu kwa lengo la kumuoa, ni jambo zuri, ni jambo jema na ni jambo lla kheri.

P
Umeshajiuza mkuu. Tunasubiria matokeo
 
Back
Top Bottom