Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kwahiyo hao ccm wa kigamboni wanaishi koromomije?
CCM ndo wamemkata sio wanadsm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ndo wamemkata sio wanadsm
Alafu hata mimi nlishangaa sana Makonda anakubalika sana huku Ukonga
Kwa coment hizi ccm itashinda kwa kishindo sana mwaka huu
Bahati nzuri woote kutoka Kahama
Juyu alikuwa mkuu wa wilaya moshiHuyu Kippi Warioba si alipewa Ubalozi baada ya kuhenyeshwa na Mdee, karudi tena Kawe..!!
Bwashee hakukuomba ushauri wa kisera kabla ya kutinga mbele ya kamati ya roho mbaya?MwanaJf Pascal Mayalla ameahidi kugawa sh milioni 10 kwa kata zote za Kawe endapo atachaguliwa kuwa mbunge.
Source Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
Uzi wenu umedoda hata coment 500 hauna ila unaona huu wa baba lao ccm uanelekea coment 5k yani hata nyie wenyewe chadema mnaona bora kuja kucomnt huku chama dola kuliko huko kwa mbowe
Una kichwa kizito tatizo.Kwahiyo hao ccm wa kigamboni wanaishi koromomije?
Uzi wenu umedoda hata coment 500 hauna ila unaona huu wa baba lao ccm uanelekea coment 5k yani hata nyie wenyewe chadema mnaona bora kuja kucomnt huku chama dola kuliko huko kwa mbowe
Una kichwa kizito tatizo.
Acha aende upinzani, chadema wamesema wanachukua nchi safari hii. MmawiaBusara itumike Jimbo la Vunjo, Kimei arudi
Aporudi akienda upinzani atamchanachana mpinzani wake vibaya sana
Wewe hauhusiki.Tumemkataa Bashite