Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Democracy ina maana gani sasa kama tuna angalia mwenyewe convincing power? Ni nani alikuwa na ushawishi mkubwa 2015 CCM kama EL na Membe? Lakini leo si wote tunaona matunda Safi kabisa ya JPM kuwa Rais je wangefata convincing power hii almasi mchangani ingepatikana kweli?
 
Kikubwa tunachojifunza ni hiki:

When there is something interesting going on in our society, the social media too becomes an interesting part of our society.

Kuelekea Oktoba 28 mwaka huu,tuwekeze katika mitandao ya kijamii na pia tuitumie vizuri mitandao ya kijamii kwani inaweza kutusaidia kuleta mabadiliko katika nchi vyetu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kajamaa kanaleta sera za uongo balaaa
Sasa kama ana KIINUA mgongo cha TZS 240 million (niko tayari kusahihishwa kama nimekosea) akiamua TZS 100 million kuingiza jimboni ni sawa vile vile
 
#KuraZaMaoniUbunge Dk Kiruswa apigiwa 529 Longido Mbunge wa zamani wa jimbo la Longido mkoani Arusha, Dk Stephen Kiruswa ameongoza kwa kura 529. Wa pili ni Lomayani Logile kura 68. Wa tatu ni Sabore Ole Moloimet kura 45. Taarifa ya: John Mhala #uchaguzimkuu2020 #CCM2020 https://t.co/QyMajDYPXg
 
#KuraZaMaoniUbunge Mabula aibuka apata 502 Ilemela Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Ilemela, Dk Angelina Mabula ameongoza kwa kura 502. Wa pili ni Israel Mtambalike kura 112. Waliopiga kura ni 685. Taarifa na: Alex Sanga, Mwanza #HabariLeo #Spotileo #uchaguzimkuu2020 #ccm2020 https://t.co/ESdnhmo3JN
 
Halafu haelewani na DC Ubungo. Yaani kiujumla wasaidizi wake hawako happy hivyo support hana kabisa. Mtu mwenye akili na utashi huwezi kumuunga Makonda mkono hata kidogo. Uongozi kwake aliutumia sana kujijenga yeye na kujiona wa juu kuliko wote. Clips zake hazina heshima kabisa. Kiburi kikubwa kwa wakubwa zake wengine kisa eti amebebwa kwenye Mbeleko. Iko siku itakatika.
Unazungumza kitu muhimu sana , lakini muda umefika tuzungumzie issues na sio watu, mtandao wetu unapaswa uwe juu kuliko kushinda kuzungumzia watu tuu.
 
Moshi vijijini Kuna Ester Mmassy na Victor Tesha ambao watachuana vikali. Wengine hawana nguvu.

Ubungo yupo Emmanuel Maluli huyu ni Katibu wa Hamasa kata ya Makuburi.

Mwingine ni Cypirian Mrema ambaye Ni mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Ubungo.

Pia yupo Kitila Mkumbo. Wengine siwajui
Asante kwa taarifa so bwana chami.amekimbia
 
Baada ya matokeo ya kura za maoni ndani ya CCM kuanza kutolewa kuanzia jana, kuna jambo limejitokeza, bali ni NGUVU ya LOWASSA kwenye mchakato mzima. Rejea kushindwa kwa Makonda na Mwakyembe. Angalia ushindi wa Zungu Ilala na Mollel Siha.
 
Ni wajibu wa serikali kupeleka maendeleo kwenye jamii bila kubagua na bila kuangalia ushawishi wa mbunge kwa sababu maendeleo yanachangiwa na kodi za wananchi na sio pesa ya mfukoni mwa rais au bashite.

Vilevile wananchi wanapololipa kodi huwa hawachagui ushawishi wa mbunge ila wanatimiza wajibu wao kama raia
kati ya makonda na ndungulile ni nani ambae ana ushawishi wa kumwambia rais anahitaji maendeleo flani kwenye jimbo na akasikilizwa? kwa kifupi kati ya watu hawa wawili nani ana convinvicing power kwa rais. tunapiga kura lakini the ultimate goal ni kupata maendeleo na si kukomoana na nongwa. Hebu tuangalieni ultimate goal ya kumchagua mtu na tuweke pembeni mambo mengine.
 
Lowassa zama zake zimeshapita masuala ya kumhusisha na siasa za ndani za CCM ziwe positive or negative ni kukosa maarifa.
 
Maswa Magharibi
Stanslaus Nyongo - 309
Peter Bunyongili - 209
Kuna mwenye report hizi full za Maswa Magharibi kuna Bossi wangu wa zamani Mashimba Masahuri Ndaki, ndo alikuwa mbunge hapo inamaana kapigwa chini? Ameshindwa kwa kura ngapi? Alipata kazi Canada mwaka 2009 Akachomoa, offer $136,000. Akapata Ubunge 2010 then 2015 akapata tena.

Kama kapigwa chini itakuwa worse sana kwake.
 
Back
Top Bottom