Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Biharamulo
1. Dr Sebuyoya Nkurunzinza - 194
2. Ezra Chiwelesa- 113
3. King - 46
4. Ziyuni - 40
5. Kipeja - 35
6. Kasusura - 31
7. Sikitu - 17
8. Shangwe - 16
 
Ni wajibu wa serikali kupeleka maendeleo kwenye jamii bila kubagua na bila kuangalia ushawishi wa mbunge kwa sababu maendeleo yanachangiwa na kodi za wananchi na sio pesa ya mfukoni mwa rais au bashite
Vilevile wananchi wanapololipa kodi huwa hawachagui ushawishi wa mbunge ila wanatimiza wajibu wao kama raia
Safiiii umemtoa kimaso maso huyu buku 10 wa makonda khaaaaash
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaishiwa nguvu hapo haamini anachokiona namba zimegoma,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani leo nna furaha isiyo kifani mweeh,. Afu vip huko home kwa jenista na Dr Ndumbaro matokeo yakoje.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sijayaona ngoja tusubiri.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani leo nna furaha isiyo kifani mweeeeeeh,. Afu vip huko home kwa jenista na Dr Ndumbaro matokeo yakoje.
 
Mbona umeishiwa pumzi. Mbona hufanyi updates za kutosha. Mfano, jimbo la Chemba hujaweka matokeo ya kura kwa wote walioomba. Weka matokeo yakiwa full.
Makonda kashapigwa za uso vijana wake humu wamebaki kulialia tu
 
kati ya makonda na ndungulile ni nani ambae ana ushawishi wa kumwambia rais anahitaji maendeleo flani kwenye jimbo na akasikilizwa? kwa kifupi kati ya watu hawa wawili nani ana convinvicing power kwa rais. tunapiga kura lakini the ultimate goal ni kupata maendeleo na si kukomoana na nongwa. Hebu tuangalieni ultimate goal ya kumchagua mtu na tuweke pembeni mambo mengine.
Kumbe maendeleo yanaletwa kwa kuongea na Rais!
 
Au sio
Screenshot_20200721-133519.jpg
 
Wewe hauhusiki.
Wajumbe wa CCM ndo wahusika.
Hao wajumbe wa ccm wametokea mbinguni au? Hujui tunaishi nao na kukaa nao majumbani?

By the way una uhakika gani kama mimi siyo mmojawapo wa walio shiriki upigaji kura na kumkataa Bashite?
 
Heeeeh huyu Nkurunzinza imekuaje tena? kuna kila aina ya kituko khaaaaaaah.
Maeneo ya mipakani mwingiliano wa makabila ni mkubwa ni kitu cha kawaida kukuta Onyango jaluo mtanzania wa Tarime na Onyango jaluo MKENYA wa wa kisumu kenya

Lakini pia Tanzania mbona tunao kibao tu wahutu na watusi,Serikali ilitoa uraia kwa wahutu na watusi laki mbili wakimbizi waliokaa muda mrefu nchini miaka michache iliyopita.Tanzania tuna makabila mawili yaliyoongezeka ya watusi na wahutu

Sasa hivi ukikuta mtu anajitambulisha kama mhutu au mtusi usimshangae wapo kibao wamepewa urai na familia zao

Kenya imeongeza kabila jipya la wahindi kama mojawapo ya makabila ya Kenya likiwa kabila la 44

 
Back
Top Bottom