Pascal Mayalla niliingia choo cha kike. Nilidhania atagombea kupitia ACT kwa sababu ya alishaitwa mpaka bungeni!! What a surprise!!
 
kama kweli Pasco ndio gia yako hiyo mkuu umetuangusha!! kwanini hakutuambia wanajukwaa tukupe agenda balozi wetu JF?

1.Ajira kwa raia wenye hali ngumu Kawe hasa vijana.

2. Mikopo ya Bodaboda kwa masela.

3.Mikopo ya biashara kwa kinamama yenye masharti nafuu.

4.Kodi zipunguzwe kwa wafanyabiashara za maduka kutwa wanafunga wakisikia TRA wako mtaani kwao.

5.Kushawishi serikali kuweka bajeti kubwa jimboni kwake huduma za jamii.

6. Hiyo yake ya kugawa mil 10 kila kata!!
 
MwanaJf Pascal Mayalla ameahidi kugawa sh milioni 10 kwa kata zote za Kawe endapo atachaguliwa kuwa mbunge.

Source Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Bwashee hakukuomba ushauri wa kisera kabla ya kutinga mbele ya kamati ya roho mbaya?
 
Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa @innobash ametangazwa kuwa mshindi wa kura za maoni Jimbo la Karagwe, Kagera baada ya kupata kura 587 kati ya kura 679 zilizopigwa (86.5%), wagombea 34 walijitokeza kugombea katika jimbo hilo la karagwe. #MillardAyoUPDATES https://t.co/8xKduv4Eof
 
Sio nyie ccm kila siku mnasema Chadema ni chama cha mitandaoni tu huku we mwenyewe unajaribu kutumia mitandao kufanya projection?!

Habari ya ajali ikiwa na wachangiaji wengi utasema watu wanaunga mkono ajali?

Kura za maoni za ccm mwaka huu zimekuwa zikifatiliwa kutokana na moja au zaidi ya sababu hizi:

1. Aina ya watu waliochukua form.

2. Watu kutaka kujua hatma ya waliounga mkono juhudi.

3. Kujua hatma za wateule walio kaidi kauli ya rais ya kuridhika.

4. Baadhi ya wateule wa rais 'kuvamia' majimbo yanayo shikiliwa na wanaccm wenzao.

5. Kujua na kuona kama maamuzi ya wapiga kura yataheshimiwa na cc hapo baadae.
Uzi wenu umedoda hata coment 500 hauna ila unaona huu wa baba lao ccm uanelekea coment 5k yani hata nyie wenyewe chadema mnaona bora kuja kucomnt huku chama dola kuliko huko kwa mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…