Amekuja kwetu tena
Heeeeh huyu Nkurunzinza imekuaje tena? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila [emoji1241] kuna kila aina ya kituko khaaaaaaah.
 
Unajua maana ya almasi au unaota?
 
Nikweli lazima hasa sisi wana jf tujipongeze kwa kupaza sauti zetu ambazo zimewafikia wapiga kura na kufanya maamuzi sahihi.

Tuendelee kupaza sauti kwa kutoa elimu ya uraia ili wananchi wajue ni yupi mtu wa kumchagua, waache kuuza kura zao kwa khanga au T-shirt na kilo moja ya sukari.
 
Asenger(Kilombero) kashinda!
Asenger na Mrisho ni marafiki wa Makonda. Next time inabidi wa MFUNDE!!
 
Uchaguzi wa kura za maoni ndani ya CCM unatoa picha kuwa CCM huwa haishindi kihalali katika chaguzi mbalimbali zinazofanyika, ushindi wake ni wakijanjajanja tu.

Kama hivi ambapo wenyewe kwa wenyewe wamejaribu kufanya uchaguzi wa huru na haki, uchaguzi usiokuwa na rushwa,uchaguzi wa wazi kwa kila mtu, mamuruki wamedhibitiwa,matokeo yake ni kwamba hata wale ambao hawakutegemea kuanguka kwenye kura za maoni wamepigwa chini kwa kuwa hawajazoe kushinda kwa halali bila kuzunguka mbuyu.
 
Watu wa mkoa wa Dar es Salaam interest yetu ilikua kigamboni, huko pengine hapatuhusu hata maruhani yakishinda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
 
Heeeeeh makubwa hayaah bhanaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…