Bona mpeni haki yake kapambana Sana Ni resources tu hazitoshi Ila kidogo alichopata kakisimamia
Ila Yule mdada ni kifaa aisee hata Mimi ningekua bungeni ningepigana nimpate nimfokonyoe
Mrembo halafu ana shepu matata
Mtam kuanzia machoni nitaanza kumtembelea kwake mheshimiwa mbunge

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Amekuja kwetu tena
Yaan hii nchi n commedy toshaaaah, ukiyaona ya Nkurunzinza utastaajabu ya makonda, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pascal kavurugwa hata kabla uchaguzi haujafanyika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weee acha tyuuuuh, namsubiri baadae humu ndani khaaaaah
 
Hao madogo wa Nyerere nadhani enzi zimeshawatupa mkono, tatizo baba yao ali-hit zamani sana, hilo jina siku hizi limebaki kwenye vitabu vya historia, halina madhara tena, ni sawa tu na kutaja azimio la Arusha na mengineyo...
Kilichowaponza ni kwamba hawakufanya tathmini ya kutosha. Wengine huwa wanajipitishapitisha kwa wananchi ili wajulikane na kama watagombea kweli iwe inatoka rohoni si vinginevyo! Labda wateluiwe kama nafasi zingine kama vile DC, RC, Balozi n.k
 
Akae pembeni nayeye asubiri uteuzi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hajalia na leo
Huko twitter makonda anaropoka hovyoooh tyuuh, yaan khaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lugha za uchaguzi hizi......yaani askofu " anamchinja" Halima mapema asubuhi.
Kweli ukichanganya dini na siasa lazima uharibikiwe.

Ngoja tuone

Maendeleo hayana vyama!
Gwajima ni mhuni flani tu ..... sasa anataka kujificha nyuma ya kichaka cha siasa. Nafikiri CCM siyo wajinga kiasi hicho. Kama wameweza kumpiga chini Jecha bila hata kumuonea aibu kwa kazi yake ya 2015 .... ndiyo awe Gwajima wa mtaani tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…