johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama alivyofanya Mnyika!Si washalipwa tayari, wakale hizo kwanza hadi ziishe kwanza tamaa ya nini? Kula ni kwa zamu ukishashiba unakaa pembeni na wenzio wapige tonge eeee..
Ya kweli haya??Makonda chaliii, Gwajima chalii, Kigwangala oyee, Bashe chaliii, Mnyeti chalii, Gambo oyee, Sendeka chaliii,
Isome vizuri. Billion kumiBilioni moja na wewe acha kukuza vitu
Hahahaaaa....... Kinondoni ya Ufipa hiyo!
[/QUOTHa
hahaha Kigamboni Mkuu Nipo fasta mkuuHahahaaaa....... Kinondoni ya Ufipa hiyo!
Abasi Tarimba sio MtarambaAbasi Mtaramba apita Kinondoni ..kura 171
Makonda alijiandaa. Katembeza sana pesa kule.Kigamboni;
Dungulile 69
Makonda 316
Hawa Ng'umbi alimshinda Nape vibaya sana kwenye kura za maoni. Na ilikua 2010 si 2005!!Ilikuwa ni mwaka 2005. The same year Frederick Mwakalebelea alikatwa, akapewa Monica Mbega Iringa mjini. Nape alikatwa akapewa Hawa Ng'humbi Ubungo
Jamaa namkubali balaaAbas tarimba kura 171
Huhuuu,, bwana weee,,Kigamboni;
Dungulile 69
Makonda 316
Huyu sawa, mola amtangulie!Hongera @Hussein Bashe 2
BASHE 367
Ruangisa 1
Mashili 6
Wengine 2
Jumla 376
BASHE ameshinda Kwa asilimia 97.6
Hapo hapo Ujiji inaonekana 2005 Peter Serukamba(mkristo) alimuangusha Dr Warid (Muislamu) , vile vile 2010 huyu huyu Peter Serukamba Mkristo alimuangusha tena Ally Khalfan(Muislamu), vip wakati huo wazee wa Ujiji waislamu walikuwa wapi ?Ndalichako Hajazuiliwa; Yeye Mwenyewe amesoma Hulka za wazee wa Ujiji; Pale ni Obvious Utaratibu wao Huwa upo Kidini zaidi;
Kila Mahali kuna Siasa Zake, Mafano Arusha Majimbo ya Arumeru Magharibi, Arumeru Mashariki, Monduli Huku Siasa zinaenda Kiukoo; Kama Unatokea kwenye ukoo mkubwa basi ndivyo hatihati za kutoboa zinaongezeka.
Hivyo lazima Ufahamu siasa zinabase fulani fulani, Udini, Ukabila etc.
Hahaa ,mmemsikia katibu lkn!Duuh
Ndejebi ni kiongozi bora.Uwiiii uwiiiiiiii Naibu Waziri mh Mavunde mbunge wa Dom mjini agaragazwa vibaya hata tano Bora hayupo ,aliyekuwa DC kongwa Ndejembi aibuka kidedea
Yes,na ndipo ccm kwa hasira wakampigia msigwa!Ilikuwa ni mwaka 2005. The same year Frederick Mwakalebelea alikatwa, akapewa Monica Mbega Iringa mjini. Nape alikatwa akapewa Hawa Ng'humbi Ubungo
Nani kachukua?Kawe Gwajima Kapigwa Chini