Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Hahaa ,mmemsikia katibu lkn!
Kasema kupata kura nyingi haina maana umepitishwa kuwa mgombea[emoji23][emoji848] duh mwaka huu

JESUS IS LORD[emoji120]
Ni ngumu Makonda kukatwa
 
Wapo Madiwani, Wabunge wakiaminiwa na Wananchi kwa Gharama kubwa ikiwamo uhai lakini hao Jamaa waliziba masikio na Kuhamia Chama tawala kwa vipande 30 vya fedha ili Wapate uhakika wa kusimamishwa wagombea 2020.

Mpaka sasa MTULIA kule Kinondomi chaliii, Laana ya Usaliti haijawahi kuwa Na baraka.
Waliowatelekeza SIO waliowaterekeza
 
Wadau msisahau kura za leo ni kutoa mapenekezo ya majina 3 kwa halimashauri kuu. Lakini halimashauri ndo inaamua nani awe mgombea. Wanaangalia hayo majina 3, lakini wanaangalia pia list ya watia nia wote kwenye jimbo husika. Hivyo msipoteze usingizi kabla Magu hajawapa majina ya wagombea.
Yes!

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Kuna wabunge wengine kama hawapo ville,me ndo nimeskia juzjuzi wakat wa Corona kuwa jamaa ndo wa kigamboni
Huyu Jamaa hamna kitu kabisa, ila imetokea tu kupendwa na wana-Kigamboni
 
Back
Top Bottom