Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Msishangilie, kuna rungu la mwenyekiti na katibu huko mbele. Mtalimia menoHaya sasa wale wenye chuki binafsi na bashite mnazungumziaje hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msishangilie, kuna rungu la mwenyekiti na katibu huko mbele. Mtalimia menoHaya sasa wale wenye chuki binafsi na bashite mnazungumziaje hili
Ngoja tumuone Gwajima anavyopanua huduma
Hakuna wa kumwangusha Makonda hayupoKaangushwa uko ndugu yako
Kumbe Nchemba hakubaliki hivyo
Haswaaaa. Na mwaka huu tutarajie hayoYes,na ndipo ccm kwa hasira wakampigia msigwa!
JESUS IS LORD[emoji120]
Nani anaeshangiliaMsishangilie, kuna rungu la mwenyekiti na katibu huko mbele. Mtalimia meno
Mbona wanasema kapata kura 316 kwa 69?Makonda kawa konda mkuu dereva ni Ndungulile
Wewe ndiyo hujasoma kwa uzingativu ndugu, Esther Bulaya ni jimbo la bunda, siyo hilo unalodhani.Toa ufafanuzi mkuu
Serious?Check twitter. Makonda chali mbele ya Daktari. Kachakazwa vibaya.
Hata matapta wanataka kwenda bungeni?? Daaah sijui nani ameondoa ''utakatifu'' wa bungeRichar Paul maarufu Marcas ameomba Ridhaa ya kuwa Mbunge wa jimbo la Arusha mjini kutokana na utendaji kazi alioufanya katika jamii
Alisema alishawahi kufanya mambo malimbali ikiwemo uanzilishi wa kukusanya mapato ya maegesho ya nagari (parking )Mkoa wa Arusha mbali na kazi hiyo pia kazi ingine aliyoifanya ni pamoja na kushauri Twiga bank kuwa bank ya posta Mara baada ya kuona bank hiyo kuwa na matawi manne na kukusanya Madeni na baadae kuwa moja ya bank kubwa nchini
Pia alisema ni mkusanyaji wamadeni sugu mamlaka ya usimamizi wa bandari zote Tanzania pamoja na mdai ya madeni sugu ya wanafunzi wa chuo cha bandari
Alisema endapo hata chaguliwa kuwa Mbunge wa Arusha hatasaidia wakina mama wanao panga bithaa bara barani eneo la frence cona wanapata maeneo ya kufanyia biashara zao mahali salama zaidi
Katika Sera yake amehaidi ataongea na watu wa national housing pamoja na viongozi wa chama na serikali hili kupata jengo katikati ya mji hili aweze kujenga city market
Amewaomba wajumbe kumpa ridhaa kwani jimbo la Arusha linaitaji MTU mwenye maono kama ya kwakwe aweze kusaidiana na Mh John Pombe Magufuli kuendeleza Tanzania ya uchumi wa kati View attachment 1511688View attachment 1511689
Nataka Kigamboni na Kawe
Wanasema mpiga kura ni Mjumbe tu. Unaweza kuwa member but usiwe mjumbe wa ngazi husika. Niliuliza hili asubuhi nikajibiwaHii nimeishuhudia huko Isimani kwao kiongozi mstaafu wa Bavicha mh Ole sosopi.
Watia nia watatu wa CCM wamepata kura 0 kwenye kura za maoni za watia nia ya ubunge.
Anayejua Tafadhali!
Maendeleo hayana vyama!