Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Ya kweli haya jaman?
Screenshot_20200720-155625_Facebook.jpg
 
Hii nimeishuhudia huko Isimani kwao kiongozi mstaafu wa Bavicha mh Ole sosopi.

Watia nia watatu wa CCM wamepata kura 0 kwenye kura za maoni za watia nia ya ubunge.

Anayejua Tafadhali!

Maendeleo hayana vyama!
 
Richar Paul maarufu Marcas ameomba Ridhaa ya kuwa Mbunge wa jimbo la Arusha mjini kutokana na utendaji kazi alioufanya katika jamii

Alisema alishawahi kufanya mambo malimbali ikiwemo uanzilishi wa kukusanya mapato ya maegesho ya nagari (parking )Mkoa wa Arusha mbali na kazi hiyo pia kazi ingine aliyoifanya ni pamoja na kushauri Twiga bank kuwa bank ya posta Mara baada ya kuona bank hiyo kuwa na matawi manne na kukusanya Madeni na baadae kuwa moja ya bank kubwa nchini

Pia alisema ni mkusanyaji wamadeni sugu mamlaka ya usimamizi wa bandari zote Tanzania pamoja na mdai ya madeni sugu ya wanafunzi wa chuo cha bandari

Alisema endapo hata chaguliwa kuwa Mbunge wa Arusha hatasaidia wakina mama wanao panga bithaa bara barani eneo la frence cona wanapata maeneo ya kufanyia biashara zao mahali salama zaidi

Katika Sera yake amehaidi ataongea na watu wa national housing pamoja na viongozi wa chama na serikali hili kupata jengo katikati ya mji hili aweze kujenga city market

Amewaomba wajumbe kumpa ridhaa kwani jimbo la Arusha linaitaji MTU mwenye maono kama ya kwakwe aweze kusaidiana na Mh John Pombe Magufuli kuendeleza Tanzania ya uchumi wa kati View attachment 1511688View attachment 1511689
Hata matapta wanataka kwenda bungeni?? Daaah sijui nani ameondoa ''utakatifu'' wa bunge
 
Hii nimeishuhudia huko Isimani kwao kiongozi mstaafu wa Bavicha mh Ole sosopi.

Watia nia watatu wa CCM wamepata kura 0 kwenye kura za maoni za watia nia ya ubunge.

Anayejua Tafadhali!

Maendeleo hayana vyama!
Wanasema mpiga kura ni Mjumbe tu. Unaweza kuwa member but usiwe mjumbe wa ngazi husika. Niliuliza hili asubuhi nikajibiwa
 
Back
Top Bottom