Wampitishe waone!!! Hata kura za ccm zitaenda Chadema...Bado anaweza pata kwa mbaalii
Uno everybody sema uno 😃😃Furaha - 101
Kiziga - 85
Gwajima - 79
Haya sasa Porn Star amedondokea kiuno,
no more porn videos.
Wajumbe walikuwa zaidi ya 400Furaha - 101
Kiziga - 85
Gwajima - 79
Haya sasa Porn Star amedondokea kiuno,
no more porn videos.
Gwajima mla kindoo kaachwa na wamama.. [emoji16][emoji209]Mshindi Furaha Dominic jacob. Halima hapa mapemaa sana anashindaa
Achana nae porn star mkuu...... 🤣🤣Chanel 10 mna roho mbaya ilipofika kura za Gwajima kuhesabiwa mkatoa matangazo mkaanza kujadili yenu mnarudi kura za Gwajima zilishatangazwa nini sasa maana ya LIVE? Live ni kuona zoezi linavyoendelea sio kuangalia sura zenu au kuwasikilizeni nyie tu? Tajeni Gwajima kapata ngapi kwa nini mlis skip kutangaza live kura za Gwajima
Unazungumzia umaarufu na sio uwezo binafsiJimbo kama la kawe, kamati kuu inabidi iwe makini sana!! Mtu anaweza akashinda ndani ya chama lakini hana mvuto kwa wananchi!! Kumshinda Mdee inabidi apatikane mtu mwenye uwezo wa kuchukua kura kwa CCM na CHADEMA. Kwa kawe, Gwajima anafaa sana nikilinganisha na wengine...
Mdee ataondoka asubuhi na mapema...
Mbona 2015 mwanaume Kippi warioba alipigwa chini,Hapo usalama wao ccm ili washinde uchaguzi lazima wamuweke mtu mwenye ushawishi kwa wananchiJimbo la kawe mpaka asimame mwanaume na sio mwanamke
Yule Chalii aliye bebwa na Chadema akaunga juhudi kapata ngapi?? Simuoni kwenye list hapo[emoji108]Mkoa wa Kigoma
Kasulu Vijijini
Augustine Vuma 266 (alikuwa mbunge anayemaliza muda wake)
Agripina Buyogera 97
Samson F. Kabogo 70
Betola Juma Kulikiza 46
Emanuel T. Msasa 26
Yona P. Msongwa 21
Adam P. Mkuyu 20
Prof. Hudson Nkotagu 18
Leonard L. Nyanzira 11
Gibson Bunyaga 10
Kwa hiyo Augustine Vuma ameongoza kutetea Ubunge katika Jimbo aliloliwakilisha.
Buyungu
Kamamba 50
Msakila 47
Gwegenyeza 44
Eng. C. Chiza 33
Kwa hiyo Eng. Christopher Chiza ameshika nafasi ya 4 kwenye Jimbo alilokuwa mbunge
Buhigwe
Dr. Philip Mpango 297
Obama 76
Sio kirahisi hivyoooooohJimbo kama la kawe, kamati kuu inabidi iwe makini sana!! Mtu anaweza akashinda ndani ya chama lakini hana mvuto kwa wananchi!! Kumshinda Mdee inabidi apatikane mtu mwenye uwezo wa kuchukua kura kwa CCM na CHADEMA. Kwa kawe, Gwajima anafaa sana nikilinganisha na wengine...
Mdee ataondoka asubuhi na mapema...
Kama unataka kumuna gwaji nenda porn hub yupo liveChanel 10 mna roho mbaya ilipofika kura za Gwajima kuhesabiwa mkatoa matangazo mkaanza kujadili yenu mnarudi kura za Gwajima zilishatangazwa nini sasa maana ya LIVE? Live ni kuona zoezi linavyoendelea sio kuangalia sura zenu au kuwasikilizeni nyie tu? Tajeni Gwajima kapata ngapi kwa nini mli skip kutangaza live kura za Gwajima?
Kuna wengine kina Sitta wana 60+, nkWajumbe walikuwa zaidi ya 400
Tatari kalamba chiniPorn star gwajimen apigwe arudi mtaani kuendelea kuratibu kile kikundi chake cha kikabila.......
Njoo PM boss.
Ama kapata kura 0
Upo sahihi mkuu, Gwajima anapaswa kupewa nafasi achuane na Mdee.Jimbo kama la kawe, kamati kuu inabidi iwe makini sana!! Mtu anaweza akashinda ndani ya chama lakini hana mvuto kwa wananchi!! Kumshinda Mdee inabidi apatikane mtu mwenye uwezo wa kuchukua kura kwa CCM na CHADEMA. Kwa kawe, Gwajima anafaa sana nikilinganisha na wengine...
Mdee ataondoka asubuhi na mapema...
Hapokei simu. sijui kapata kura ngapi.. labda mtu alete list hapa nione jina lake! Ila kwa hali ilivyo sidhani kama amepata zaidi ya kura 5.