YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Chanel 10 mna roho mbaya ilipofika kura za Gwajima kuhesabiwa mkatoa matangazo mkaanza kujadili yenu mnarudi kura za Gwajima zilishatangazwa nini sasa maana ya LIVE? Live ni kuona zoezi linavyoendelea sio kuangalia sura zenu au kuwasikilizeni nyie tu? Tajeni Gwajima kapata ngapi kwa nini mli skip kutangaza live kura za Gwajima?