Alafu huyo huyo ndio anasema atawaombea cdm wakose ushindi kwenye uchaguzi mkuu!!!

Kashindwa kujiombea mwenyewe ili ashinde, jamaa tapeli kweli huyu.

Mwingine huyo hapo chini kaangukia meno pale shinyanga, naona sasa atahamia kwa Zitto ili akapate nafasi ya kugombea tena
Furaha - 101
Kiziga - 85
Gwajima - 79



Haya sasa Porn Star amedondokea kiuno,
no more porn videos.
 
Huyu Furaha ameangusha mibuyu haswa lakini wasiwasi wangu sioni kama msuli wake unatosha kwa Mdee. Ngoja tusubiri kamati kuu tuone kama haitopindua meza
CCM haitafuti mtu wa kupimana na mtu yeyote inatafuta mtu atakayewafaa kutekeleza ilani ya CCM.Na kwenye ilani hakuna kipengele kinachosema mtu atateuliwa kwa lengo la kupimana ubavu na mtu labda kwenu Chadema NDIO kuna huo ujinga sababu kwenu uchaguzi mnajiingilia hamna cha ilani wala nini ni kupimana ubavu tu!!!

OHH Lisu atakuwa na ubavu wa kupimana na Magufuli !!!! mnawaza vitu vya kijinga kijinga tu hata hamuelewi mtu hugombea kwa lengo lipi!!! very sad

Upinzani kujua siasa itawachukua karne nyingi sana

Ndio maana kwa Chadema mtu pekee anayeelewa siasa kwa sasa ni Nyalandu tu angalau anajielewa kwa nini anataka kugombea uraisi.Lisu zero!!! Anawaza kupimana ubavu na Magufuli!!!
 
Gwajima hana mvuto kwa wananchi ndiyo maana kura zake za wajumbe ambao ni wananchi zimekua chache.
 
Akili zako ziko kama hiyo avatar yako mkuu. Hivyo hukukosea kujiita bujibuji.
 
Hakuna jiwe litaachwa bila kugeuzwa.. Kilio cha Mbowe hakita waacha salama..
Mkuu mateso aliyokuwa anayapitia huyu Elia n makubwa mno. Acha atafute ugali wake. Maaana alikuwa akitoka Kakonko Hadi kwao Kabale, anabadili boda na njia siyo chini ya 5 ili awapoteze Usalama
 
Naona shemeji yake gwajima unampigia promo hapa....... Usiwapangie Wana ccm
 
Waislamu watamtosa balaa kutokana na matamshi yake
Yes wakiweka Mtumishi wa Christianity, halafu sio mtumishi tu, ambaye amekuwa na Kauli si njema sana kwa Muslim;
Pale inabidi kama ni Christianity au Muslim ambaye hana Itikadi; Type yakina Mdee inafaa, yaan harakati zake Huwezi mpambanua kwenye udini, Hivyo ndio siasa inatakiwa kuwa.
Tatizo Gwajima Ni mdini. Wakirudisha Jina tu wamekwisha. Huwa anadhihaki Dini nyingine
Hawezi Siasa Gwajima; Kama anaweza Acha Kufundisha Habari za Ufalme wa Mungu, Akaanzisha Series ya kumshambulia mtu Personaly; Unafikiri Jukwaa la Sias litakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…