Upo sahihi mkuu, Gwajima anapaswa kupewa nafasi achuane na Mdee.
Porn star gwajimen apigwe arudi mtaani kuendelea kuratibu kile kikundi chake cha kikabila.......
 
Kwanza hujui wafanyabiashara. Kuu..... Tuachane na hiyo umemuona mnyomge hapo?
 
Kwanza hujui wafanyabiashara. Kuu..... Tuachane na hiyo umemuona mnyomge hapo?
Ndio Mgombea mnyonge ni mtu akiwa anagombea anakuwa na support ya wanyonge wengi wenzie lakini ukiona anapata zero au kura moja huyo hata kuitwa mnyonge hafai hana wenzie wa kumuunga mkono?
 
Mkoa wa Kigoma

Buhigwe

Dr. Philip Mpango 297
Obama 76

Kigoma Kaskazini

Peter Serukamba 261
Asa Makanike 81
Suleiman Hanzuruni 51

Kasulu Vijijini
Augustine Vuma 266 (alikuwa mbunge anayemaliza muda wake)
Agripina Buyogera 97
Samson F. Kabogo 70
Betola Juma Kulikiza 46
Emanuel T. Msasa 26
Yona P. Msongwa 21
Adam P. Mkuyu 20
Prof. Hudson Nkotagu 18
Leonard L. Nyanzira 11
Gibson Bunyaga 10

Kwa hiyo Augustine Vuma ameongoza kutetea Ubunge katika Jimbo aliloliwakilisha.

Buyungu
Kamamba 50
Msakila 47
Gwegenyeza 44
Eng. C. Chiza 33
Eliya 13

Kwa hiyo Eng. Christopher Chiza ameshika nafasi ya 4 kwenye Jimbo alilokuwa mbunge
 
ndio mnyonge ni mtu akiwa anagombea anakuwa na support ya wanyonge wengi wenzie ukiona anapata zero au kura moja huyo hata kuitwa mnyonge hafai hana wenzie wa kumuunga mkono?
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…