Uchaguzi Mkoa wa DSM hasa wa mwanamfalme ndiyo umefanya somo kubwa na ikakuta ni mtu tu anazungumziwa. Huko social media ni clips zake tu za maneno aliyoyatamka huko nyuma. Utafikiri ni yeye mtia nia pekee Tanzania nzima. Ajitafakari
Mnampa umuhimu na kumkweza kinyume na alivyo. Shuguli imekwisha lakini sisi maisha yanaendelea na yeye pia.
 
Porn star gwajimen apigwe arudi mtaani kuendelea kuratibu kile kikundi chake cha kikabila yeye na makonda.......
 
Katika watia nia wote jimbo hilo mwenye uwezo walau wa kumtikisa Mdee ni Benjamini Sitta tu
 
Ni jambo jema.

Yawezekana kabisa mchuano mkali kule Kawe hapo October 26 ukawa kati ya Halina Mdee wa CCM na Furaha Dominic wa CCM endapo ataletwa na Kamati kuu.

Kwa kifupi ni kwamba: Mdee 10 Yatosha!

Maendeleo hayana vyama.
 
Katika watia nia wote jimbo hilo mwenye uwezo walau wa kumtikisa Mdee ni Benjamini Sitta tu

Bahati mbaya hajafanikiwa kuingia tatu bora. Kidogo kwenye hao tatu bora kwa jinsi Mdee alivyo stragetic katika kuzungumza mtu wa kumtikisa hapo ni Mchungaji Gwajima...
 
Hata hiyo no 4 amependelewa mno. Ni bogus hana utendaji kabisa. Walishamkataa akarudi kimuujiza
 
Ni jambo jema.

Yawezekana kabisa mchuano mkali kule Kawe hapo October 26 ukawa kati ya Halina Mdee wa CCM na Furaha Dominic wa CCM endapo ataletwa na Kamati kuu.

Kwa kifupi ni kwamba: Mdee 10 Yatosha!

Maendeleo hayana vyama.
Halima Mdee sio wa ccm na uchaguzi mkuu kwa mujibu wa tangazo la tume utafanyika octoba 28,2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…