Ni jambo jema.

Yawezekana kabisa mchuano mkali kule Kawe hapo October 26 ukawa kati ya Halina Mdee wa CCM na Furaha Dominic wa CCM endapo ataletwa na Kamati kuu.

Kwa kifupi ni kwamba: Mdee 10 Yatosha!

Maendeleo hayana vyama.
unazingua sana , muda sio mrefu uliandika Askofu kashinda , sasa hivi umekuwa wa kwanza kuandika Furaha na Mdee, wahusika JF muwe mnashughulikia watu kama hawa
 
Kwa jaribio hili na alivyo waaminisha kondoo wake kuwa atashinda huu uchaguzi, basi kuna kondoo watahama kwenye zizi lake.
Itabidi Gwajima arekodi video nyingine naona ile raia hawajaielewa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Issue ya ushawishi ni kitu kingine na kuwa mgombea ni kitu kingine ila kama makonda angelikuwa na ushawishi semekana basi angewashawishi wajumbe wampitishe Kwa mlada mada sidhani kama ni kweli kuna kukimoana Bali ni nguvu ya ushawishi Kwa ujumla
 
Gwajima kifo cha mende miguu juu. Heko kwako Furaha Dominic kwa kuchaguliwa kuipeperusha bendera ya CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…