Mbona matokeo rasmi sijayaona ?Itakuwa bado. Maana huyu ni star wa social media.Tale alishaliwa kichwa jana
JESUS IS LORD[emoji120]
Mashinji kura 2 na Pascal Mayalla kura 1Mashinji kapata kura ngapi? Huyo dereva wa maroli Mdee atampatia kichapo takatifu.
Kaliwa kichwaMbona matokeo rasmi sijayaona ?Itakuwa bado. Maana huyu ni star wa social media.
Na amehamia wapi baada ya kutoka chedema?Kuna tetesi kua makonda kahama chadema ni kweli?
Mashinji kura 2 na Pascal Mayalla kura 1
Mdee ana shughuli pevu mwaka huu!
Kwa lipi hasa alilio nalo gwajima?Jimbo kama la kawe, kamati kuu inabidi iwe makini sana!! Mtu anaweza akashinda ndani ya chama lakini hana mvuto kwa wananchi!! Kumshinda Mdee inabidi apatikane mtu mwenye uwezo wa kuchukua kura kwa CCM na CHADEMA. Kwa kawe, Gwajima anafaa sana nikilinganisha na wengine...
Mdee ataondoka asubuhi na mapema...
Kawe kulikuwa na 170 lakini unayaona matokeo ya watu watatu tu unataka mpaka waliopata zero nao wawekweMbona matokeo rasmi sijayaona ?Itakuwa bado. Maana huyu ni star wa social media.
Hahahaaaa....... CCM ni chama kikubwa!Hata Kama Tunaichukia CCM Lakini Tukubali CCM Ni Mafundi Wa Kugonga Watu Spana, Yaani Dkt Mashinji Ni Wakulamba Kura 2 Tu? Huyu huyu Dkt Mashinji Aliyekua Katibu Mkuu CHADEMA? Kura Mbili Kweli? Wajumbe Mungu Anawaona 😂😂
Mdee asirelax anaweza kukutana naye!Gwajima mmemtafuna kichwa aaaaah
Hammer ya gwajiii imepta pancha
Huyo Idd Azan alikuwa wapi kushinda 2015 mbele ya mtulia?Mtu pekee anayeweza kupambana na upinzani Dar es salaam na kushinda kihalali jimbo lolote lile ni Tarimba Abbas, Idd Azan na Zungu wa Ilala hao pekee ndio wanaweza kushinda jimbo lolote Dar es salaam kupitia CCM wengine itakuwa mbeleko tu...Dar inawenyewe kweli watoto wa mjini..
Alafu wajinga wanamfata awaombee wapate promotion kazini,Sijui aibu ataziweka wapi
ATAWATAFUNA KWANZAKwa jaribio hili na alivyo waaminisha kondoo wake kuwa atashinda huu uchaguzi, basi kuna kondoo watahama kwenye zizi lake.
Mdee asirelax anaweza kukutana naye!
Amelia na leo au [emoji23][emoji23][emoji23]Lijuakali kapata kura 5