Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Screenshot_20200721-161148.png
 
Mashinji amepata kura 2 kati ya Mia nne na ushee. Kwetu CCM tulijihakikishia kuwa wote waliofika bei eti waje watupokonye tonge mkononi sisi tuliotumikia chama haiwezekani. Mlidanganywa mkafikiri mmepata. Na mkirudishwa tu ndiyo mtatujua sisi maana. Rudini mlikotoka.
 
Jimbo kama la kawe, kamati kuu inabidi iwe makini sana!! Mtu anaweza akashinda ndani ya chama lakini hana mvuto kwa wananchi!! Kumshinda Mdee inabidi apatikane mtu mwenye uwezo wa kuchukua kura kwa CCM na CHADEMA. Kwa kawe, Gwajima anafaa sana nikilinganisha na wengine...

Mdee ataondoka asubuhi na mapema...
Kwa lipi hasa alilio nalo gwajima?
 
Hata Kama Tunaichukia CCM Lakini Tukubali CCM Ni Mafundi Wa Kugonga Watu Spana, Yaani Dkt Mashinji Ni Wakulamba Kura 2 Tu? Huyu huyu Dkt Mashinji Aliyekua Katibu Mkuu CHADEMA? Kura Mbili Kweli? Wajumbe Mungu Anawaona 😂😂
Hahahaaaa....... CCM ni chama kikubwa!
 
Wahamiaji haramu wamekatwa vichwa tena kwa namba Yai au single digit na double digit za kuchechemea tu. Hii ndiyo CCM bwana.
 
Mtu pekee anayeweza kupambana na upinzani Dar es salaam na kushinda kihalali jimbo lolote lile ni Tarimba Abbas, Idd Azan na Zungu wa Ilala hao pekee ndio wanaweza kushinda jimbo lolote Dar es salaam kupitia CCM wengine itakuwa mbeleko tu...Dar inawenyewe kweli watoto wa mjini..
Huyo Idd Azan alikuwa wapi kushinda 2015 mbele ya mtulia?
 
Back
Top Bottom