Mkoa wa Kigoma

Kigoma Mjini

Kirunde Shaban Ng'enda 218
Juma Juma Mwaka 44
Eng. James Nyabakari 37
Juma Musa Kamange 26
Maulid Mkondo 17
Dr. Ahmed Nsovu 17
Shaban S. Hamim 11
Benedict Sindagi 10
Baruan Abdallah Mhuza 10

Buhigwe (Manyovu)
Dr. Philip Mpango 297
Obama 76

Kigoma Kaskazini
Peter Serukamba 261
Asa Makanike 81
Suleiman Hanzuruni 51

Kasulu Vijijini
Augustine Vuma 266 (alikuwa mbunge anayemaliza muda wake)
Agripina Buyogera 97
Samson F. Kabogo 70
Betola Juma Kulikiza 46
Emanuel T. Msasa 26
Yona P. Msongwa 21
Adam P. Mkuyu 20
Prof. Hudson Nkotagu 18
Leonard L. Nyanzira 11
Gibson Bunyaga 10

Kwa hiyo Augustine Vuma ameongoza kutetea Ubunge katika Jimbo aliloliwakilisha.

Buyungu
Kamamba 50
Msakila 47
Gwegenyeza 44
Eng. C. Chiza 33
Eliya 13

Kwa hiyo Eng. Christopher Chiza ameshika nafasi ya 4 kwenye Jimbo alilokuwa mbunge
 
Mkoa wa Kigoma

Kigoma Mjini


Kirunde Shaban Ng'enda 218
Juma Juma Mwaka 44
Eng. James Nyabakari 37
Juma Musa Kamange 26
Maulid Mkondo 17
Dr. Ahmed Nsovu 17
Shaban S. Hamim 11
Benedict Sindagi 10
Baruan Abdallah Mhuza 10
Jimbo la Ngara
 
Mkoa wa Kigoma

Kigoma Mjini


Kirunde Shaban Ng'enda 218
Juma Juma Mwaka 44
Eng. James Nyabakari 37
Juma Musa Kamange 26
Maulid Mkondo 17
Dr. Ahmed Nsovu 17
Shaban S. Hamim 11
Benedict Sindagi 10
Baruan Abdallah Mhuza 10
Huyu Juma Juma Mwaka ni yule dokta wa mitishamba ya uzazi mwenye wake 3?
 
Jamani mwenye matokea CCM Majimbo yafuatayo

1.Dodoma Mjini
2.Bahi
3.Mpwapwa
4.Manyoni
 
Mkoa wa Kigoma

Kigoma Mjini


Kirunde Shaban Ng'enda 218
Juma Juma Mwaka 44
Eng. James Nyabakari 37
Juma Musa Kamange 26
Maulid Mkondo 17
Dr. Ahmed Nsovu 17
Shaban S. Hamim 11
Benedict Sindagi 10
Baruan Abdallah Mhuza 10
Baruani Mhuza wa Azam TV kura 10
 
Huyo Idd Azan alikuwa wapi kushinda 2015 mbele ya mtulia?

Mtulia alibebwa na nguvu ya Ukawa mwenyewe hawezi kupambana hata na mimi nikigombea kinondoni, ndio maana tunasisitiza kuunganisha nguvu kupambana na CCM...huwezi kushindana na hao jimbo lolote dar mkiwa vipande..
 
Yaani 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 kisingizio anakimbizana na rekodi zake
Khaaaa mama jamani ana tamaa yule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndivyo unawaza subiri October 28
 
Mtulia alibebwa na nguvu ya Ukawa mwenyewe hawezi kupambana hata na mimi nikigombea kinondoni, ndio maana tunasisitiza kuunganisha nguvu kupambana na CCM...huwezi kushindana na hao jimbo lolote dar mkiwa vipande..
Kwahiyo hiyo ukawa kwa Mussa Zungu haikuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…