Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Mkoa wa Kigoma

Kigoma Mjini

Kirunde Shaban Ng'enda 218
Juma Juma Mwaka 44
Eng. James Nyabakari 37
Juma Musa Kamange 26
Maulid Mkondo 17
Dr. Ahmed Nsovu 17
Shaban S. Hamim 11
Benedict Sindagi 10
Baruan Abdallah Mhuza 10

Buhigwe (Manyovu)
Dr. Philip Mpango 297
Obama 76

Kigoma Kaskazini
Peter Serukamba 261
Asa Makanike 81
Suleiman Hanzuruni 51

Kasulu Vijijini
Augustine Vuma 266 (alikuwa mbunge anayemaliza muda wake)
Agripina Buyogera 97
Samson F. Kabogo 70
Betola Juma Kulikiza 46
Emanuel T. Msasa 26
Yona P. Msongwa 21
Adam P. Mkuyu 20
Prof. Hudson Nkotagu 18
Leonard L. Nyanzira 11
Gibson Bunyaga 10

Kwa hiyo Augustine Vuma ameongoza kutetea Ubunge katika Jimbo aliloliwakilisha.

Buyungu
Kamamba 50
Msakila 47
Gwegenyeza 44
Eng. C. Chiza 33
Eliya 13

Kwa hiyo Eng. Christopher Chiza ameshika nafasi ya 4 kwenye Jimbo alilokuwa mbunge
 
Mkoa wa Kigoma

Kigoma Mjini


Kirunde Shaban Ng'enda 218
Juma Juma Mwaka 44
Eng. James Nyabakari 37
Juma Musa Kamange 26
Maulid Mkondo 17
Dr. Ahmed Nsovu 17
Shaban S. Hamim 11
Benedict Sindagi 10
Baruan Abdallah Mhuza 10
Jimbo la Ngara
 
Mkoa wa Kigoma

Kigoma Mjini


Kirunde Shaban Ng'enda 218
Juma Juma Mwaka 44
Eng. James Nyabakari 37
Juma Musa Kamange 26
Maulid Mkondo 17
Dr. Ahmed Nsovu 17
Shaban S. Hamim 11
Benedict Sindagi 10
Baruan Abdallah Mhuza 10
Huyu Juma Juma Mwaka ni yule dokta wa mitishamba ya uzazi mwenye wake 3?
 
Jamani mwenye matokea CCM Majimbo yafuatayo

1.Dodoma Mjini
2.Bahi
3.Mpwapwa
4.Manyoni
 
Mkoa wa Kigoma

Kigoma Mjini


Kirunde Shaban Ng'enda 218
Juma Juma Mwaka 44
Eng. James Nyabakari 37
Juma Musa Kamange 26
Maulid Mkondo 17
Dr. Ahmed Nsovu 17
Shaban S. Hamim 11
Benedict Sindagi 10
Baruan Abdallah Mhuza 10
Baruani Mhuza wa Azam TV kura 10
 
Huyo Idd Azan alikuwa wapi kushinda 2015 mbele ya mtulia?

Mtulia alibebwa na nguvu ya Ukawa mwenyewe hawezi kupambana hata na mimi nikigombea kinondoni, ndio maana tunasisitiza kuunganisha nguvu kupambana na CCM...huwezi kushindana na hao jimbo lolote dar mkiwa vipande..
 
2462218_Edc-TIXXkAM3LJs.jpg


Amka wewe mtumishi FAKE wa mungu.

Jimbo la KAWE:

1- Furaha Dominic Jacobo: 101✔

2- Angela Charles Kiziga: 85

3- Josephat Gwajima: 79

4- Benjamini Sitta: 61

Dkt Vicent Mashinji amepata kura 2

Kippi Warioba kura 3
 
Yaani 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 kisingizio anakimbizana na rekodi zake
Khaaaa mama jamani ana tamaa yule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mambo sasa hadharani. ni hesabu rahisi za logic.

ni hivi...

kwa siasa za ndani na nje ya CCM, Makonda ni taswira ya JPM.

huko Kigamboni, Makonda kaambulia 34.76% ya kura.
hiyo ndiyo opinion ya wana CCM wa Kigamboni dhidi ya Makonda (mirroring JPM).

nina uhakika hiyo ndiyo pia verdict ya wana CCM katika mkuu wao majuzi kule Dodoma, kwamba ndani ya mioyo ya wana CCM, JPM anakubalika kwa 34.76% tu na siyo 100%.

uchaguzi mkuu October ungekuwa huru, JPM asingeweza kuambulia hata 30%.

upinzani over to you.

ni logic rahisi tu

Zitto John Mnyika CHADEMA ACT Wazalendo
Ndivyo unawaza subiri October 28
 
Mtulia alibebwa na nguvu ya Ukawa mwenyewe hawezi kupambana hata na mimi nikigombea kinondoni, ndio maana tunasisitiza kuunganisha nguvu kupambana na CCM...huwezi kushindana na hao jimbo lolote dar mkiwa vipande..
Kwahiyo hiyo ukawa kwa Mussa Zungu haikuwepo?
 
Back
Top Bottom