GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hiyo kura moja sio yake mkuu kwani wanaopiga kura ni wajumbe wa mkutano mkuu wa jimbo/wilaya husika. Na najua yeye si mjumbe kwa hakika.
Wale walikuwa wanataka kwenda Isreal, walikuwa wakijiita wasabato masalia. Hawakufanikiwa kwenda na baada ya kuondolewa maeneo ya airport ilibidi waishi katika pagale la msamaria mmoja kabla ya kila mtu kurudi alikotoka.Hivi walienda kweli
Amsalimie Pompeo , ndio rafiki yake wa damuHuko tittwer ana haha km nn anaropoka tyuuuh, na visivyokuwepo km chizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Remember he has a family to feed not a public to impress.Mnafki yule Mashinji kaambulia kura 2
Dah, siasa ngumu sana. Brother P inabidi ajipange tena 2025 au asubiri uteuzi wa mkuuNa yawezekana kabisa kwa Kuonewa Huruma kwa Umaarufu wake Mr. Njaa Naombeni Msamaha hiyo Kura Moja amewekewa tu ili asiumbuke.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti Mungu ana mipango na yey ndo maan anpitisha ktk majaribu ili kuuvaa ufalne, yaaan n vituko showAmsalimie Pompeo , ndio rafiki yake wa damu
Ukiwa ccm hakuna kitu kinashindikana, inauma sanaWadau, hivi huyo Selemani Nchambi ameruhudiwa vipi kugombea Ubunge na CCM wakati alihukumiwa na mahakama kwa kosa la kuhujumu uchumi?
Vv
usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako, huyu BASHITE ana damu za watu mikononi mwake, alimtukana yule dada eti kisa ana mimba na yeye alikuwa hajaenda USA kupandikiza ya KEEGAN, huyu dogo noi zero brain as per Gwajima.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti Mungu ana mipango na yey ndobmaan anpitisha ktk majaribu ili kuuvaa ufalne, yaaan n vituko show
Kama Mashinji angekuwa na akili this time angepata ubunge kupitia CHADEMA kiurahisi kabisa.Ahahaahaaha Mashinji aibu yake
Alishapewa milioni 200 na kuhakikishiwa ubunge, kipindi hicho akili zilihamia kichwa cha chini, sasa zitaanza kurudi kichwa cha juu.Kama Mashinji angekuwa na akili this time angepata ubunge kupitia CHADEMA kiurahisi kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu wote chaliiiiiih sasa subiri commedy uwiiiiiihusilitaje bure jina la Bwana Mungu wako, huyu BASHITE ana damu za watu mikononi mwake, alimtukana yule dada eti kisa ana mimba na yeye alikuwa hajaenda USA kupandikiza ya KEEGAN, huyu dogo noi zero brain as per Gwajima.
Hivi yey anavotaka kwenda bungeni , afu hospital abaki nan aaaaaaah
Jimbo gani??Kama Mashinji angekuwa na akili this time angepata ubunge kupitia CHADEMA kiurahisi kabisa.
Naona kiongozi itikadi za siasa zimeshakutia upofu kuona kila mtoa maoni tofauti na fikra zako ni CHADEMA, kwa nini usifikiri mimi ni ACT, CUF etc.CCM haitafuti mtu wa kupimana na mtu yeyote inatafuta mtu atakayewafaa kutekeleza ilani ya CCM.Na kwenye ilani hakuna kipengele kinachosema mtu atateuliwa kwa lengo la kupimana ubavu na mtu labda kwenu Chadema NDIO kuna huo ujinga sababu kwenu uchaguzi mnajiingilia hamna cha ilani wala nini ni kupimana ubavu tu!!!
OHH Lisu atakuwa na ubavu wa kupimana na Magufuli !!!! mnawaza vitu vya kijinga kijinga tu hata hamuelewi mtu hugombea kwa lengo lipi!!! very sad
Upinzani kujua siasa itawachukua karne nyingi sana
Ndio maana kwa Chadema mtu pekee anayeelewa siasa kwa sasa ni Nyalandu tu angalau anajielewa kwa nini anataka kugombea uraisi.Lisu zero!!! Anawaza kupimana ubavu na Magufuli!!!
Daaah angebaki kuhudumia wagonjwa duuuuhMadaktari tu ndio hawaruhusiwi kuacha vituo vyao vya kazi?