GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hiyo kura moja sio yake mkuu kwani wanaopiga kura ni wajumbe wa mkutano mkuu wa jimbo/wilaya husika. Na najua yeye si mjumbe kwa hakika.
Na yawezekana kabisa kwa Kuonewa Huruma kwa Umaarufu wake Mr. Njaa Naombeni Msamaha hiyo Kura Moja amewekewa tu ili asiumbuke.