Mwenye matokeo ya sengerema atuwekee jamani kwa Ngeleja
 
Mkoa wa Kigoma

Kigoma Mjini

Kirunde Shaban Ng'enda 218
Juma Juma Mwaka 44
Eng. James Nyabakari 37
Juma Musa Kamange 26
Maulid Mkondo 17
Dr. Ahmed Nsovu 17
Shaban S. Hamim 11
Benedict Sindagi 10
Baruan Abdallah Muhuza 10

Buhigwe (Manyovu)
Dr. Philip Isidor Mpango 297
Albert Ntabaliba Obama 76

Kasulu Mjini
Prof. Joyce Lazaro Ndalichako 405
Daniel Nicodemus Nsanzugwanko 80

Kigoma Kaskazini
Peter Serukamba 261
Asa Makanike 81
Suleiman Hanzuruni 51

Kigoma Kusini/Uvinza
Hasna Mwilima - 273
Nashon Bidyanguze - 143
January Kizito - 117
David Kafulila - 64

Kasulu Vijijini
Augustine Vuma 266 (alikuwa mbunge anayemaliza muda wake)
Agripina Buyogera 97
Samson F. Kabogo 70
Betola Juma Kulikiza 46
Emanuel T. Msasa 26
Yona P. Msongwa 21
Adam P. Mkuyu 20
Prof. Hudson Nkotagu 18
Leonard L. Nyanzira 11
Gibson Bunyaga 10

Kwa hiyo Augustine Vuma ameongoza kutetea Ubunge katika Jimbo aliloliwakilisha.

Buyungu
Aloyce Chinyeretse Kamamba 50
Msakila Kabende 47
Emmanuel Gwegenyeza 44
Eng. Christopher Chiza 33
Elia Fredrick Michael13

Kwa hiyo Eng. Christopher Chiza ameshika nafasi ya 4 kwenye Jimbo alilokuwa mbunge

Muhambwe
Atashasta Nditiye - 250
Jamali Abdalah - 96
Dickson Bidebel - 50
 
Jimbo la Katavi

Eng Isack Kamwele (Kilinda) ushindi wa kura 155

Kapala kura 47

Official [emoji871]
 
Asenger(Kilombero) kashinda!
Asenger na Mrisho ni marafiki wa Makonda. Next time inabidi wa MFUNDE!!


Wamfunde kua humble , utiifu na mnyenyekevu, but it’s too late may be Makonda Akipata second chance kwa huruma ya Raisi

Watanzania hatupendi watu wenye majigambo ni culture yetu tunapenda wanyonge sio wenye kujimwambify
 
Ero kamano ainya, mosna wote wa Kabwana na Obwere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…