Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Mkoa wa Kigoma

Kigoma Mjini

Kirunde Shaban Ng'enda 218
Juma Juma Mwaka 44
Eng. James Nyabakari 37
Juma Musa Kamange 26
Maulid Mkondo 17
Dr. Ahmed Nsovu 17
Shaban S. Hamim 11
Benedict Sindagi 10
Baruan Abdallah Mhuza 10

Buhigwe (Manyovu)
Dr. Philip Isidor Mpango 297
Albert Ntabaliba Obama 76

Kigoma Kaskazini
Peter Serukamba 261
Asa Makanike 81
Suleiman Hanzuruni 51

Kasulu Vijijini
Augustine Vuma 266 (alikuwa mbunge anayemaliza muda wake)
Agripina Buyogera 97
Samson F. Kabogo 70
Betola Juma Kulikiza 46
Emanuel T. Msasa 26
Yona P. Msongwa 21
Adam P. Mkuyu 20
Prof. Hudson Nkotagu 18
Leonard L. Nyanzira 11
Gibson Bunyaga 10

Kwa hiyo Augustine Vuma ameongoza kutetea Ubunge katika Jimbo aliloliwakilisha.

Buyungu
Kamamba 50
Msakila 47
Gwegenyeza 44
Eng. C. Chiza 33
Eliya 13

Kwa hiyo Eng. Christopher Chiza ameshika nafasi ya 4 kwenye Jimbo alilokuwa mbunge
Mpango kaula, kigoma mjini alikuwa ninani mtetea kiti?
 
Tunaomba CV ya Furaha
IMG-20200721-WA0040.jpg

Inasenekana lakini
 
Fred Lowassa aongoza kura Monduli #Matokeo ya kura za maoni Monduli ziko hivi; 1. Fredrick Lowassa ‐ 244 2. Julius Kalanga - 162 3. Wilson Lengima ‐ 149 #uchaguzi2020 #uchaguzimkuu #dailynewsdigitalupdates https://t.co/VeWMW5fuMR
 
Nimefatilia kiasi chaguzi kadhaa hizi za mchujo na kuona wagombea wakipewa muda wa kati ya dakika 1-3 kujinadi kwa wapigakura wao na hatimaye kutakiwa kuombakura.

Wakuu ninapata shida kuelewa ni kwa namna gani unaweza kutumia dakika moja au hata hizo 3 kushawishi mtu na kuhamasika kumpigia mtu kura.

Nachokiona hapa watu tayari wanakuwa na wagombea wao 'mifukoni' na kinachofanyika ni kukamilisha ratiba tu au mnasemaje?

Ubaya naouona wa mfumo huu wa 'ivisha maharage fastafasta' tunaweza kuwa tunapoteza wagombea wazuri kwa sababu watu hawapati muda wa kusikiliza na kupembua hoja za hawa wagombea.
Inategemea na sehem, kwenye wagombea wengi hukaa mda mchache
 
Hapa unadanganya. Hao jamaa wanashinda kwao tu huko walikozoeleka huwezi waleta maeneo mengine wakashinda. Huko waliko ni uswazi so wanafahamiana sana.na mgeni hawezi shinda huko


Mtu pekee anayeweza kupambana na upinzani Dar es salaam na kushinda kihalali jimbo lolote lile ni Tarimba Abbas, Idd Azan na Zungu wa Ilala hao pekee ndio wanaweza kushinda jimbo lolote Dar es salaam kupitia CCM wengine itakuwa mbeleko tu...Dar inawenyewe kweli watoto wa mjini..
 
#UPDATES Dkt. Philip Mpango ameshinda katika kura za maoni Jimbo la Manyovu, Kigoma. 1. Dkt. Philip Mpango - 298 2. Albert Obama - 72 3. Abia Muhama - 26 #UCHAGUZI2020TZ #TUKUTANEOKTOBA #KilichoBoraKabisa https://t.co/yyGr8gOuxU
 
Kufuatia kwa mbunge mgombea anaposhindwa kwenye kura za maoni inawezekana ikawa amekosa kura za wajumbe (kura ya maoni)lakini mtu huyo huyo mnaemkata akawa ana maji wa wapiga kura kuliko huyo mnaempetisha.

Mnaweza mkata mtu kisa ameshindwa kwenye kura za maoni na akapitishwa yule alieshinda kwenye kura za maoni lakini huyo huyo aliepitishwa akawa hana mtaji wa wapiga kura kama yule mliemkata.kumbuka kura wanapiga ni wananchi wanachagua mtu wanaemtaka na sio yule mliemuweka eri kwa kuwa kashinda kura ya maoni,kwa hali hii kama ccm isipokuwa makini inawwza jikuta baadhi ya majimbo yakachukuliwa na upinzani kwa uzembe wao .
Ni hayo tuu nimewakumbusha
 
Mtihani ni mtihani yaani mawaziri wote wamefaulu isipokuwa mmoja tu tena yule mbobezi mwenye degree nne

Ngoja tusubiri kamati kuu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom