gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
Kigoma mjini si ya mboga mboga ni Zzk.Mpango kaula, kigoma mjini alikuwa ninani mtetea kiti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigoma mjini si ya mboga mboga ni Zzk.Mpango kaula, kigoma mjini alikuwa ninani mtetea kiti?
Usikariri.Ni mwepesi Ila tayari ndio mshindi atakae chuana na Mdee
Duuu safari hii watu wameamua, vipi yule mama aliyetoka cdm akaomba mkopo kwa Bashiru wa 50m akapewa 70m?
Huyo Gwajima anawapelekesha kondoo wake kwa namna yoyote ile anayoitaka yeye na bado wanamuamini.
Kama aliweza kugoma kama sio yeye kwenye ile video chafu sembuse hili dogo tu.
1. Kiherehere chako cha kila mara na Kiburi chako cha Asili ama hakika Kimekuponza na Wengine wajifunze kutoka Kwako.
2. Ulishindwa kujua kuna tofauti kubwa kati ya kuwa Jamihi Fworumu Pulatinamu Memba na Kuaminiwa na Wapiga Kura Ukumbini.
3. Mtu hujawahi hata kuwa Mjumbe wa Nyumba 10 achilia mbali tu Udiwani leo unalitaka Jimbo la ' Cow Way ' kweli?
4. Siku zote hasa Jumamosi unaonekana sana Runingani ila hujawahi hata Kuizungumzia ' Cow Way ' yako unayoitaka.
5. Wapiga Kura wa Jimbo la ' Cow Way ' walitaka Mshindani wa Kweli na hasa lakini siyo ' Mnafiki ' uliyetukuka kabisa.
6. Watu Werevu duniani wakienda Kuogelea Kwanza huwa wanapima Kina cha Mto au Bahari na hawakurupuki tu Kipuuzi
7. Mtu mzima tena mwenye Familia na Wajukuu wako njiani kupata Kura Moja ( Moko ) tena yako Mwenyewe ni Fedheha mno.
Asanteni sana Wapiga Kura wote wa Jimbo la ' Cow Way ' kwa kuwa ' Makauzu ' hasa na hata hamjapoteza muda Wenu Kumpigia Mtu Kura zenu.
Kigoma mjini si ya mboga mboga ni Zzk.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata Kama Tunaichukia CCM Lakini Tukubali CCM Ni Mafundi Wa Kugonga Watu Spana, Yaani Dkt Mashinji Ni Wakulamba Kura 2 Tu? Huyu huyu Dkt Mashinji Aliyekua Katibu Mkuu CHADEMA? Kura Mbili Kweli? Wajumbe Mungu Anawaona [emoji23][emoji23]
Kufuatia kwa mbunge mgombea anaposhindwa kwenye kura za maoni inawezekana ikawa amekosa kura za wajumbe (kura ya maoni)lakini mtu huyo huyo mnaemkata akawa ana maji wa wapiga kura kuliko huyo mnaempetisha.
Mnaweza mkata mtu kisa ameshindwa kwenye kura za maoni na akapitishwa yule alieshinda kwenye kura za maoni lakini huyo huyo aliepitishwa akawa hana mtaji wa wapiga kura kama yule mliemkata.kumbuka kura wanapiga ni wananchi wanachagua mtu wanaemtaka na sio yule mliemuweka eri kwa kuwa kashinda kura ya maoni,kwa hali hii kama ccm isipokuwa makini inawwza jikuta baadhi ya majimbo yakachukuliwa na upinzani kwa uzembe wao .
Ni hayo tuu nimewakumbusha
Usaliti ni dhambi mbaya sana,wamuulize Yuda.Nasikia Ndanda Mwambe anapumulia mashine
Dah huyu Chambili anahangaikia ubunge hadi huruma, last time alivaa hadi dera lakini watu wakamfyekelea mbaliii.ESTER MAHAWE 91
WEREMA CHAMBILI 77
PAULINA GEKUL 61
Wasaliti wote kazi wanayo
Kwamba Yule jamaa alikuwa PSU ametoboa? Maana alitia Nia kule(Daqaro)Jitu Patel kaangukia pua jimbo la babati vijijini
Usaliti ni dhambi mbaya sana,wamuulize Yuda.
Dah huyu Chambili anahangaikia ubunge hadi huruma, last time alivaa hadi dera lakini watu wakamfyekelea mbaliii.