balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Hakuhukumiwa kifungo,alilipa fainiWadau, hivi huyo Selemani Nchambi ameruhudiwa vipi kugombea Ubunge na CCM wakati alihukumiwa na mahakama kwa kosa la kuhujumu uchumi?
Vv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuhukumiwa kifungo,alilipa fainiWadau, hivi huyo Selemani Nchambi ameruhudiwa vipi kugombea Ubunge na CCM wakati alihukumiwa na mahakama kwa kosa la kuhujumu uchumi?
Vv
hehehe wasaliti wote chaliMonduli
Fred Lowassa 244 √
Julius Kalanga 166
Asenger(Kilombero) kashinda!
Asenger na Mrisho ni marafiki wa Makonda. Next time inabidi wa MFUNDE!!
wasaliti chaliiiiiiiMonduli
Fred Lowassa 244 √
Julius Kalanga 166
Ero kamano ainya, mosna wote wa Kabwana na ObwereNapenda kuangalia mambo kwa upana na ukubwa wake, intelligence ya CCM kuona mbali na kushika hatamu ya kisiasa kwa miaka zaidi ya 100 mbeleni inaenda kukamilika zaidi. Kwa Mwenendo wa kisiasa nchini ulivyokua na ukuaji wa upinzani ulivyokua kwa kasi sana mpaka kuhatarisha afya ya CCM kwa miaka ijayo wakaja na mbinu mpya ya kununua wapinzani na kuwapa ahadi ya uongo saana. vijana wakaingiwa na tamaa na kuacha vyama vilivyowatoa kutoka Chini mavumbini na kujulikana zaidi na watu wengi wakajiona wao ndio wenyewe wakadiriki kuwatukana viongozi wao maana walijua kua hata wakienda huko watapata vinono.
Twende pamoja...
Hebu fikiria na ushangae karibia majimbo yote, hawa vijana wa chadema walikua na nguvu kuubwa ya kutetea jimbo Lao na kurudi bungeni tena kupitia chadema lakini wameahamia CCM na kupigwa ngumi za uso, upper cut pamoja chembe kidevu wamechezea ngumi nzito zaidi ya matumla au mwakinyo wamebaki wanalia tu wamejifungia ndani wanatoa makamasi tu wamekua kama condom wameshatumiwa wametupwa.
Tutegemee nini?...
Haya majimbo ambayo yalikua tishio kwa CCM 2015 now CCM Wanaenda kuyachukua kihurahisi saaana maana waliokuepo hapo ndio basi tena sidhani kama CHADEMA walijiandaa kwa mda mfupi kufanya replacement ya hao madogo.
Pole sana mdau wetu wa JF paschal mayalla kura 1? ...
Opondo jashirati.
Kwenda kule ChademraaaaaaaaaaiiiiiHuo umeneja wako labda ni wa kucheza ngoma ya gobogobo ya kule kisesa
Hii nimeipenda bure tuMonduli
Fred Lowassa 244 √
Julius Kalanga 166
Nani msaliti hapa!
Machieg'ni jatelo.Ero kamano ainya, mosna wote wa Kabwana na Obwere
mkuu Hukunijibu swali langu lakini. Cjui ndio umelipuuzia.Tunaomba CV ya Furaha