Hahaha kashinda ubunge au kura za maoni kuomba ridhaa kugombea ubunge?
 
Machieg'ni jatelo.
ero kamano ainya, okajaluo asedak kabwani miaka ya 90. Awinjo dholuo te mabher kabisa to okanyar wuoyo mabher. Nimemiss sana nyama choma ya kondoo na ugali wa udaga asubuhi na mapema. Hahahahahaha, Waluo ni wakarimu sana.
 
Mawakala wa miamala ya Pesa...wanaweza kuwa wameshiriki ama watashiriki...kuruhusu 'takirima' kutumika bila kujua ama kwa kujua. Pia zawadi za mablanketi ya kilo 2 mpaka 3.5, vyombo vya ndani kama sahani, vikombe, nakadhalika kwa kutumia mawakala wa kisiri wa watia nia navyo yawezekana vilitumika ama vitatumika kushawishi uungwaji mkono (nawaza sina ushahidi).

Mapambano dhidi ya rushwa ni makali sana.
 
Jamani mwenye Matokeo ya Ndanda kwa Cecil Mwambe
 
Kweli kabisa,
Gwajima atammudu Mdee kuliko huyo Furaha Dominic.
 
Hata Kama Tunaichukia CCM Lakini Tukubali CCM Ni Mafundi Wa Kugonga Watu Spana, Yaani Dkt Mashinji Ni Wakulamba Kura 2 Tu? Huyu huyu Dkt Mashinji Aliyekua Katibu Mkuu CHADEMA? Kura Mbili Kweli? Wajumbe Mungu Anawaona [emoji23][emoji23]
Walijua kupita ni rahisi tatizo
Wajumbe we CCM ni wengi CDM kupita ukiwa unajulikana ni rahis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…