Sio mwaka huu tena? Mmeghairi?
Sendeka 305
Kiria 47
Millya 15
Toima 11




Waliotoka Chadema Chamoto Wanakiona Huko


Hii ndiyo kitu itafanya Tuchukue Nchi mwaka 2025

Wapinzani wengi hawatahama watajua wanaenda Katwa huko
Ng'ombe mkatwa mkia mwingine out
 
Chadema tunamkosea heshima Lissu, leo kaongea vitu vya maana sana ila hakuna mwenye habari nae, chadema wote wapo busy na kura za maoni za CCM
 
Dah huyu Chambili anahangaikia ubunge hadi huruma, last time alivaa hadi dera lakini watu wakamfyekelea mbaliii.
Huyo ni Kisyeri Werema Chambiri? aliwahi kuwa mbunge wa Tarime kitambo akang'olewa na marehemu Chacha Wangwe, then akaenda kugombea Babati na kushinda uchaguzi nadhani 2010.
 
Watu sasa ni mpera mpera tu hadi muombe pooo, yale magarasa yaliyo kimbia njaa cdm na kuja kwenu yote yamepigwa dafrao
Ila ukweli ni kwamba chadema inaenda poteza majimbo mengi zaidi ichaguzi huu. Kama kawe kamati ya sisiemubitamuacha huyu dominic mdee atashinda ila anguko bado lipo pale pale! Unaweza zuga ila wajua fika mlima ulivyo mkali kwa lema na sugu ktk lutetea viti vyao!
 
Butiama
Jumanne Sagini - 84.
Frank Mahemba - 80
Joseph Nyamboha - 44
Rashid Gea - 34
Makongoro Nyerere - 5
Madaraka Nyerere - 2
I see! Kwahiyo kumbe kutoka familia ya Mwalimu pale Butiama, Makongoro ndie anayekubalika zaid!!! Btw, hivi Andrew Nyerere yupo wapi?! Zile threads zake za mwisho mwisho ilikuwa utadhani account yake imedukuliwa na Dr. Shika!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…