Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Vipi kipara Waitara bado hakujaitika tu , turuke madebe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa dogoNilisha kwambia siku nyingi kuwa ccm ni sawa na joka la kibisa, ukifika uchaguzi mkuu lazima mtaufyata, nyie mnatamba sana kwenye uchaguzi wa marudio
Vipi mbeya mjini na arusha mjini?
Nasubiri Waitara na Babu Tale acha kabisa.Vipi kipara Waitara bado hakujaitika tu , turuke madebe?
Kwani ule ugonjwa wa kupua alisha pona?Vipi kipara Waitara bado hakujaitika tu , turuke madebe?
OkMbeya mjini cdm wanachukua ushindi mapeema sana, huyo Tulia anamjua nani?
Kwa Arusha nadhani hata wewe unaelewa kabisa kuwa Gambo hana namna ya kushinda pale.
Sendeka 305
Kiria 47
Millya 15
Toima 11
Waliotoka Chadema Chamoto Wanakiona Huko
Hii ndiyo kitu itafanya Tuchukue Nchi mwaka 2025
Wapinzani wengi hawatahama watajua wanaenda Katwa huko
Ng'ombe mkatwa mkia mwingine out
Naskia anagombea? matokeo ni vipKwani ule ugonjwa wa kupua alisha pona?
Babu tale kaenda jihaibisha tu. atakula za uso za kutosha!Nasubiri Waitara na Babu Tale acha kabisa.
Huyo ni Kisyeri Werema Chambiri? aliwahi kuwa mbunge wa Tarime kitambo akang'olewa na marehemu Chacha Wangwe, then akaenda kugombea Babati na kushinda uchaguzi nadhani 2010.Dah huyu Chambili anahangaikia ubunge hadi huruma, last time alivaa hadi dera lakini watu wakamfyekelea mbaliii.
Nasubiri Waitara na Babu Tale acha kabisa.
Ila ukweli ni kwamba chadema inaenda poteza majimbo mengi zaidi ichaguzi huu. Kama kawe kamati ya sisiemubitamuacha huyu dominic mdee atashinda ila anguko bado lipo pale pale! Unaweza zuga ila wajua fika mlima ulivyo mkali kwa lema na sugu ktk lutetea viti vyao!Watu sasa ni mpera mpera tu hadi muombe pooo, yale magarasa yaliyo kimbia njaa cdm na kuja kwenu yote yamepigwa dafrao
Babu tale kaenda jihaibisha tu. atakula za uso za kutosha!
I see! Kwahiyo kumbe kutoka familia ya Mwalimu pale Butiama, Makongoro ndie anayekubalika zaid!!! Btw, hivi Andrew Nyerere yupo wapi?! Zile threads zake za mwisho mwisho ilikuwa utadhani account yake imedukuliwa na Dr. Shika!!Butiama
Jumanne Sagini - 84.
Frank Mahemba - 80
Joseph Nyamboha - 44
Rashid Gea - 34
Makongoro Nyerere - 5
Madaraka Nyerere - 2
Mmawia, leo kamanda kasemaje naona mnajaza tu uzi za sisiemu...Chadema tunamkosea heshima Lissu, leo kaongea vitu vya maana sana ila hakuna mwenye habari nae, chadema wote wapo busy na kura za maoni za CCM
Huyu salma hapana,tunamfuta awaachie vijana,tamaa gani hizi jmnSALMA KIKWETE 92 , AHMED SAID MDERU 68, RIZIKI LUDIDA 62. MCHINGA HIYO
Nimeona babu tale anajisifia eti anajulikana nje zaidi pia ni maarufu [emoji23][emoji23][emoji23]